Mambo matatu muhimu ya kuzingatia katika maisha

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
Mambo 3 fanya kwa kufikiria sana.
1. MAPENZI
2. MAONGEZI
3. MAAMUZI

Vitu 3 havimngoji mtu.
1. MAUTI
2. WAKATI
3. UMRI

Mambo 3 usiyaone mepesi
1. DENI
2. MAJUKUMU
3. MARADHI

Mambo 3 usipoyafanya ujue ni motoni
1 SWALA
2 KUTUBU
3 ZAKA

Mambo 3 yafikiri kila mara
1 ALLAH
2 KIYAMA
3 KUSAMEHE

Mambo 3 yanaharibu haiba ya mwanadamu
1 WIGO
2 TAMAA
3 FAHARI

Mambo 3 yatabadili maisha yako na kuyaweka katika hali ya ubora
1 KUJIAMINI
2 KUJITUMA
3 KUTHUBUTU

Mambo 3 ndio sumu ya maendeleo yako
1 FITNA
2 MAJUNGU
3 CHOYO

Mambo 3 yatakujengea heshima
1 UAMINIFU
2 UKARIMU
3 UPOLE
kumbusha wengine
 
we umeongea point zote tatizo umekosa njia tu, anyway, thanks,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…