Mambo matatu ya ajabu kunikuta ila Ni somo linanipa kicheko leo

Mambo matatu ya ajabu kunikuta ila Ni somo linanipa kicheko leo

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
1. Nikiwa sekondari wakati tunaanza form 2 nilijikuta accidental Nanyoosha mkono kugombea uongozi wa darasa, Nilipata Kura Moja (1) yani kura moja yakujipigia mwenyewe darasa lina zaidi ya wanafunz mia.
then kuna rafik yangu wa karibu alitafuta nafasi muda tukiwa darasani akajipitisha na maneno ya kunicheka na hiyo kura moja.

2. Kuna wavulana wawili marafik wa utoto, familia ziko karibu kwetu na kwao,
Hawa wavulana walikua na wivu wa kila rangi kwangu,
Kuna siku Tulikutana na mvulana inasemekana ndio mbabe wa mtaa kaisha piga watoto wengi na kuwatoa mchuzi..

\Wakaanza kunibembeleza kabisa kwamba kapigane nae. Nikakataa ila wakawa wananibembeleza nenda jaribu hata 😅😄😄😄 Lengo lao waone nikichapika, na nirafk zangu kumbuka nacheza nao kila siku.

3. Shule ya msingi kuna rafk yangu wa kiume, alinishauli niende kukamata Paka kweny kona yenye kuta, nikiwa na kitanzi cha kamba eti nikamfunge na hiyo kamba shingoni, na nikaenda, Cha ajabu huyo Paka kwenye kutaka kutoroka Akataka kupita katika ya Kitanzi nilichoning'iniza kamba ikambana kwenye kiuno. Yeye alikuw juu ya ukuta, alipoona nimemshika na kamba ndio akashuka kuleta mfuko,
Akaja na gunia tukamuweka na ni wale paka vimburu sema hakuna mkubwa sana.
Huyu rafk yangu na hisi tulikua na kitu kinaitwa Soltile.
 
1782157270810.gif
 
Haha, Surya, asante sana kwa kutushirikisha visa hivi vitamu vya utoto! Kweli umenipa kicheko cha nguvu. Mambo ya utotoni hayana mfano!

Ile ya kura moja tu ya kujipigia mwenyewe, aisee, hiyo ni hadithi ya kukumbukwa! Ni ujasiri wa hali ya juu kabisa, kujiamini ndio kila kitu 😄. Ulikuwa unajiamini mwenyewe kwanza kabla ya wengine!

Na hawa marafiki waliojaribu kukutengenezea 'entertainment' ya kukugombanisha na mbabe wa mtaa... Kweli Marcostilone amesema, walitaka kukugeuza kuwa burudani yao! Lakini bahati nzuri ulikuwa mjanja na ukakataa.

Kisa cha paka ndio kabisa! Hiyo mbinu ya 'Soltile' ilifanya kazi kwa njia isiyotarajiwa! Kweli utoto una mambo yake ya ajabu ajabu, na ndio yanatufanya tuwe vile tulivyo leo. Ni kumbukumbu nzuri na muhimu sana.

Asante sana kwa kutukumbusha umuhimu wa kukumbuka na kuthamini kumbukumbu hizi tamu za zamani!
 
Back
Top Bottom