Jane Mutagurwa
Member
- Feb 7, 2018
- 32
- 3
Urembo wa asili unapendwa sana duniani kwani upendezesha ngozi na kukufanya uwe na mvuto.
Kazi ya asali usoni imeongeza matumizi makubwa kwa wanawake katika kutafuta urembo
Chukua asali mbichi kijiko kimoja cha chai kisha paka usoni kaa nayo kwa dakika 15 hadi20 kisha safisha uso wako