mnunity
Member
- Jun 16, 2024
- 8
- 7
1. Less talent are in high position(ikimaanisha watu wenye uwezo mdogo wa kuwaza mambo makubwa kwa ushirikiano ndo wameshikilia nafasi nyeti)
2. Those who contribute a little are given a higher reward( ikimaanisha watu wanafanya kidogo ila wanataka waonekane kuwa bila wao tusingefika kokote ila kiuhalisia sio hivyo)
3. Those who are immoral are in favour( ikimaanisha watu wasio na maadili ndo wanaonekana kuwa ndio watu)