Mambo matatu yanayofikirisha ajali ya ndege iliyotokea Bukoba ya PrecisionAir

Mambo matatu yanayofikirisha ajali ya ndege iliyotokea Bukoba ya PrecisionAir

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Poleni kwa wapendwa wenu ndugu ,jamaa na marafiki na shirika la ndege precision air kwa ajali iliyotokea mkoa wa kagera.

Wengi wetu sio wafuatiliaji sana mambo yanayo husu ndege ndio maana kuelewa mifumo yake si rahisi sababu ina watu wachache wenye taaluma na weledi mkubwa.

Bado kuna mengi tukijaribu kutafuta tatizo lilianzia wapi kupelekea tukio liloleta sintofahamu kwa wengi wetu.
kuna ajali nyingi za ndege ambazo zinasababishwa na injini,uzembe wa mawasiliano,ufundi ila kuna moja ambalo wengi wetu au mamlaka nyingi za anga ugundua baadae sana .

Katika ndege kuna mfumo maalumu unaowezesha ndege kujua umbali gani kati ya ardhi na anga wakati yupo anaongoza ndege. Kifaa hiki kinaitwa Altimeter.

Altimeter ni kifaa muhimu kwenye ndege na ndicho kinampa muongozo rubani pindi yupo angani ili kufahamu yupo usawa gani na kumsaidia kupaa,kushuka,mawingu,pressure,hali ya hewa yenye mgandamizo na n.k.
teknolojia Altimeter imeongezwa mfumo mpaka kupelekea mfumo wa ndege sehemu ya ndege inaweza kujiendesha yenyewe.

Mambo matatu yaliyopelekea mpaka kuleta mada hii ni mikasa ya listi za ajali ambazo zinasababishwa na ubovu wa kifaa au kupata tatizo.

Altimeter za kisasa ambazo ni digital zina sehemu maalumu inayochukua vipimo ili kufanya wakazi ndege inapokuwa safarini.

Sehemu hizo za mfumo zinakaa kwenye mdomo ambao ni mbele.

kazi ya altimeter kubwa kupima presha tofauti ili kutambua usawa uliopo ndege ikiwa angani kama hipo mbali au karibu na ardhi.

Altimeter ndio kifaa maalumu ambacho kinampa muelekeo rubani ndege hipo usawa gani akiwa angani au anashuka.

Ikitokea kifaa kikapata tatizo basi kinaweza kumuongoza rubani vibaya kwenye kushuka,kuruka au kuanguka kwenye milima na n.k.

Jambo la kwanza: Ndege ya precision Air iliwahi kufatilia mfumo Altimeter .
kama nilivoeleza mwanzo kuhusu kifaa hiki sio rahisi mafundi wanaohusika kuwa wanakagua sababu hakina matatizo sana ukilinganisha sehemu zengine za ndenge zinazohusika.
kuna visa vingi kama ndege ya Turkish 737 iliyoanguka kwa tatizo ilo na mengi ambayo kama utaandika "Altimeter crash plane" utaletewa list.

Jambo la pili:Marubani wengi kuamini vipimo vya vifaa hata kama vinasema uongo.

Moja ya kifaa kikubwa ni Altimeter ambacho ikitokea tatizo marubani wengi ushindwa kujiongeza na kwa kuwa mfumo wake uliotengenezwa wa kisasa ukipa mamlaka zaidi kama kijiongoze kikiwa kinataka kushuka au kupaa kikiwa angani.ili linapelekea sana kuangusha ndege visa vipo vingi mnaweza kupata makala youtube.

Jambo la tatu:utarartibu wa ukaguzi wakati ndege ikifanyiwa usafi:

Mfumo wa kifaa hiki kina sehemu mbili zinazo fanya kazi tofauti ili kupata hesabu na vipimo kwenye kifaa hiki ambayo yana matundu mawili yapo mbele ya mdogo na kazi yake ukusanya spidi ya upepo,presha na n.k

kuna kisa kimoja cha ndege iliyoanguka majini kabla ya kuondoka mfanya usafi ambaye aliziba matundu hayo wakati akisafisha.

ssss.jpg
 
kula chuma icho!!!1
kutoka kwa mchambuzi na rubani uchwara
 
Back
Top Bottom