Mambo Matatu yatakayokuacha kinywa wazi nchini Tanzania

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Amini usiamini mambo haya yanatokea kwenye nchi yetu hivi hivi tukiwa tunaona!
Tuanze

1. Unaambiwa bodi ya Mishahara iliundwa mwaka 2017 na ikamaliza muda wake bila mishahara kubadilishwa! Na Sasa tunasikia itaundwa bodi nyingine maalumu kwa ajili ya kuangalia pensheni za Wastaafu!! Hapa source ni makamu wa raisi kwenye mei Mosi
🤣🤣🤣 Yaani ni sawa na kuunda kamati hewa ya harusi na kukaa vikao bila kuwa na bwana au Bibi harusi yeyote Halafu mwishowe mnavunja kamati!

2. Ndege inanunuliwa marekani huko kwa mtengenezaji Y. Ila imeharibika imepelekwa Malaysia. Sasa kufika huko Malaysia unaambiwa injini hakuna ni za kusubiria! (Foleni) 🤣🤣🤣

3. Tume ya uchaguzi imebadilishwa jina kuwa tume HURU, ila wajumbe wake ni wale wale, anayewachagua ni yule yule, wasimamizi ni wale wale!
Katiba ni Ile ile! Na bado tunaaminishwa eti hii ni tofauti 🤣🤣🤣🤣🤣

Hebu ongezea ya kwako
4.
5.
 
1) "Unaambiwa" na nani?

2) Ya kuambiwa changanya na yako.

3) Huelewi kuwa adui wa Tanzania ni ujinga?
 
Amini usiamini mambo haya yanatokea kwenye nchi yetu hivi hivi tukiwa tunaona!
Tuanze

1. Unaambiwa bodi ya Mishahara iliundwa mwaka 2017 na ikamaliza muda wake bila mishahara kubadilishwa! Na Sasa tunasikia itaundwa bodi nyingine maalumu kwa ajili ya kuangalia pensheni za Wastaafu!! Hapa source ni makamu wa raisi kwenye mei Mosi
🤣🤣🤣 Yaani ni sawa na kuunda kamati hewa ya harusi na kukaa vikao bila kuwa na bwana au Bibi harusi yeyote Halafu mwishowe mnavunja kamati!

2. Ndege inanunuliwa marekani huko kwa mtengenezaji Y. Ila imeharibika imepelekwa Malaysia. Sasa kufika huko Malaysia unaambiwa injini hakuna ni za kusubiria! (Foleni) 🤣🤣🤣

3. Tume ya uchaguzi imebadilishwa jina kuwa tume HURU, ila wajumbe wake ni wale wale, anayewachagua ni yule yule, wasimamizi ni wale wale!
Katiba ni Ile ile! Na bado tunaaminishwa eti hii ni tofauti 🤣🤣🤣🤣🤣

Hebu ongezea ya kwako
4.
5.
Tanzania tunahitaji kutawaliwa upya na wakoloni
 
Hii ni bongoland ,huipati pengine popote duniani😅
 
Back
Top Bottom