Mambo Matatu yatakayokuacha kinywa wazi nchini Tanzania

Mambo Matatu yatakayokuacha kinywa wazi nchini Tanzania

Niliwahi kuandika uzi zamani kuhusu hilo, jisomee:

Sijaona uliposema ujinga wa Watanzania unatokana na nini!
 
Unaambiwa kuwa Nchini Tanzania, hii ndio picha ya CCTV Camera
tapatalk_1539968478352.jpg
 
4
Amini usiamini mambo haya yanatokea kwenye nchi yetu hivi hivi tukiwa tunaona!
Tuanze

1. Unaambiwa bodi ya Mishahara iliundwa mwaka 2017 na ikamaliza muda wake bila mishahara kubadilishwa! Na Sasa tunasikia itaundwa bodi nyingine maalumu kwa ajili ya kuangalia pensheni za Wastaafu!! Hapa source ni makamu wa raisi kwenye mei Mosi
🀣🀣🀣 Yaani ni sawa na kuunda kamati hewa ya harusi na kukaa vikao bila kuwa na bwana au Bibi harusi yeyote Halafu mwishowe mnavunja kamati!

2. Ndege inanunuliwa marekani huko kwa mtengenezaji Y. Ila imeharibika imepelekwa Malaysia. Sasa kufika huko Malaysia unaambiwa injini hakuna ni za kusubiria! (Foleni) 🀣🀣🀣

3. Tume ya uchaguzi imebadilishwa jina kuwa tume HURU, ila wajumbe wake ni wale wale, anayewachagua ni yule yule, wasimamizi ni wale wale!
Katiba ni Ile ile! Na bado tunaaminishwa eti hii ni tofauti 🀣🀣🀣🀣🀣

Hebu ongezea ya kwako
4.
5.
4.Eti tuko awamu ya sita, wakati tuko awamu ya nne.
 
1 Unaambiwa Kila mzanzibar ni mtanzania ila sio Kila mtanzania ni mzanzibar.

2. Unaambiwa mzanzibar anaweza kuwa mkuu wa mkoa/wilaya/mkurugenzi Tanganyika ila mtanganyika haiwezi kuwa hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa Zanzibar

3. Unaambiwa Kila mzanzibar anaweza kuomba ajira sehemu yyte Tanganyika na akaajiriwa vizur tu ila mtanganyika haruhusiwi kuomba ajira yyte kwenye serikali ya SMZ.

4. Unaambiwa mzanzibar anaruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika ila ni marufuku kwa mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar.
 
Huu Ni Upuuzi Wa Hovyo Na Hili Akija Rais Mwingine Alifute Haraka
Unyonyaji Kila Kona
 
Back
Top Bottom