Mambo Matatu yatakayokuacha kinywa wazi nchini Tanzania

Hapo namba 3 kilichobadilika ni neno HURU tu.
 
Brother you are in Tanzania [emoji16][emoji16]

Hii nchi bila kujizima data unaweza kufa kwa stress unless upigane kufa kupona bila kunyamazishwa na "mnofu".. Maana wengi wanapiga kelele ila wakipewa nyama wananyamaza
Na ndo kwa staili hii hatutoki, utashangaa hata unaemuona mzalendo kweli akishapewa mnofu utamsikia "tunashukuru Mama kwa hili"

Stupid Tanzania and it's people [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Na ndo kwa staili hii hatutoki, utashangaa hata unaemuona mzalendo kweli akishapewa mnofu utamsikia "tunashukuru Mama kwa hili"

Stupid Tanzania and it's people [emoji24][emoji24][emoji24]
Wengine wanabweka ili wapate political space and attention.. Wakishaipata kuingia kwenye streams za pesa wananyamaza

Wengine wanabweka ili wastahili pesa za wahisani kwa kuonekana wanaharakati wa demokrasia.. Na inawalipa

Wengine ni fuata mkumbo tu. Hawajui wanachokifanya zaidi ya kujazwa taarifa na sumu ambazo zinawasaidia wenzao kupata pesa zao

Wengine ndio wazalendo kwa kuipenda nchi yao. Hawa ni wachache sanaaaa
 
Km haupo kwenye network na huli dhahabu ya tanganyika ww kaa kimya sisi tunakopa kupitia mgongo wa taifa then tunahamisha kupeleka kwenye matumizi ya wakuu badała ya maendeleo then tunapandisha bei ya bidhaa ilikodi iturejeshee tulikokopa ikishindikana kwenye kodi tunawapa ardhi mchimbe mafuta/gas.
Tafuta network acha kelele nchi tamu hii
 
Gurudumu la kusagia ngano linazunguka kwa kuongeza kasi kubwa
 
Wanao ahirisha kufikiri ni walewale, (unyumbu)
 
1) "Unaambiwa" na nani?

2) Ya kuambiwa changanya na yako.

3) Huelewi kuwa adui wa Tanzania ni ujinga?
Faiza unaweza kutuambia huu ujinga wa Watanzania ni wa aina gani?

1. Je ni wa asili kwa maana ni wa kurithishana?
2. Je ni wa kuambukizwa?
3. Je ni wa kutengenezewa (induced)?
 
Faiza unaweza kutuambia huu ujinga wa Watanzania ni wa aina gani?

1. Je ni wa asili kwa maana ni wa kurithishana?
2. Je ni wa kuambukizwa?
3. Je ni wa kutengenezewa (induced)?
Niliwahi kuandika uzi zamani kuhusu hilo, jisomee:

 
Eti mupandishwe mishahara, nyooooo, unataka mushahara mukubwa gombea urais na wewe upate mushahara mukubwa, nyooooooo.
 
Chama kinachotajwa kama mbadala wa chama tawala nacho kinatafuna rushwa kama kimechanganyikiwa. Wakiulizwa wanajibu mwenye kosa ni mama Abdul kwa kuwapa wao... wao HUWA HAWAKATAI RUSHWA.
 
Nuta
Hapa kwenye bodi na tume hapaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…