Mambo Matatu yatakayokuacha kinywa wazi nchini Tanzania

Sijaona uliposema ujinga wa Watanzania unatokana na nini!
 
4
4.Eti tuko awamu ya sita, wakati tuko awamu ya nne.
 
1 Unaambiwa Kila mzanzibar ni mtanzania ila sio Kila mtanzania ni mzanzibar.

2. Unaambiwa mzanzibar anaweza kuwa mkuu wa mkoa/wilaya/mkurugenzi Tanganyika ila mtanganyika haiwezi kuwa hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa Zanzibar

3. Unaambiwa Kila mzanzibar anaweza kuomba ajira sehemu yyte Tanganyika na akaajiriwa vizur tu ila mtanganyika haruhusiwi kuomba ajira yyte kwenye serikali ya SMZ.

4. Unaambiwa mzanzibar anaruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika ila ni marufuku kwa mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar.
 
Huu Ni Upuuzi Wa Hovyo Na Hili Akija Rais Mwingine Alifute Haraka
Unyonyaji Kila Kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…