Mambo mengi , mda mchache

Mambo mengi , mda mchache

Anayetaka nimfungulie code anifate Pm.... Ya sahvi nimeteleza ka nimekanyaga ganda la ndizi.

"Thank you God"
 
Dooh , jaman kumbe ndio maana kila anayekua nae anaishia kule, mmh jaman nyie mastaa kutwa kwa waganga kutafuta nyota na umaarufu muwe mnafikiria na fyucha zenu jaman, ndio umaarufu mtamu , Ila hizo laana na mikosi mnayobeba huko inacost fyucha zenu.

Sasa huyu nae mwanakuyatafuta mwanakuyapata mmh , yan mpaka Kafara juu Kisa tu umaarufu na pesa? Una bahati sana umejiwahi kwenye dini, labda safari hii kikombe unachokunywaga kila mwaka kitakuepuka

Nakutakia ndoa Njema, ukifanikiwa kuuepuka tena mtihani huu





Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahaha na huyu ni shikanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom