Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
- Thread starter
-
- #101
Mambo mengi muda mchache
nadhani wewe ni mpumbavu kama hao waliofunga makanisa walivyo, akili zako ni za kidini ndio maana unaamini sisi tunaodai makanisa yetu yafunguliwe ni MAKAFIRI. kwa kukusaidia, wewe na wala ubwabwa wenzio, samia amefuta kanisa la ufufuo na uzima ambalo Tanzania kila mkoa hadi vijijini kuna majengo yake watu wanaabudu, hivyo sio dar es salaam tu hata mikoani kote hawaruhusiwi kuabudu. mbeya walienda kuzungusha utepe kanisani pia watu wasiabudu, nchi nzima, ina maana wamewafutia haki ya kuabudu watu zaidi ya milioni 3 kwenye makanisa hayo. ila wewe usiye kafiri amekuachia nafasi uswali,pamoja na kwamba unaonekana gaidi kwa jinsi unavyoongea.Makanisa nchi nzima ni 2000 na lililo fungiwa ni Moja, lkn nyie Makafiri wa UFUFUO na UZIMA mnatumia nguvu nyingi kuwaaminisha watanzania kuwa makanisa yamefungia kama sio Ujinga ni nini?
Hivi hiyo plan ndio ipi mbona mwaka juzi niliapply hakukua na mambo hzo?Majukumu ya kazini yanachosha, ESS inasema "Error: 9001" "Not eligible to apply loan because you don't have plan in PEPMIS".
Halafu nimefika nyumbani naingia Jamiiforums naona mada ambazo ili uelewe inabidi uumize kichwa.
Kakufananisha,msamehe!Mimi Tlaahtlaah?
Umenidharau kweli mkuu.