Mambo mengine CHADEMA jifunzeni Kwa CCM Lema Leo akitakiwa kua amefukuzwa CHADEMA

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
CCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM.

Sasa chadema kwa ajili ya Maslahi ya wengi na kutoa Onyo kali kwa wengine wenye mawazo kama Lema kupelekea kugopa Leo ilitakiwa Chadema wameshafukuza uanachama mda mrefu toka ametoka kufanya press conference yake.

Sometimes chama kinahitaji maazumizi magumu yanayoumiza Lema wakufukuza uanachama mapema leo na kuleta ni dhamu na watu kubadilisha mawazo walikua nayo kama ya Lema
 
Kuna makosa ya kinidhamu pale ya wazi sana. Anyway, chama wenda kinamuogopa. Lakini makosa yapo pale ya kinidhamu kwa kiongozi.
 
CCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM.

Sasa chadema kwa ajili ya Maslahi ya wengi na kutoa Onyo kali kwa wengine wenye mawazo kama Lema kupelekea kugopa Leo ilitakiwa Chadema wameshafukuza uanachama mda mrefu toka ametoka kufanya press conference yake.

Sometimes chama kinahitaji maazumizi magumu yanayoumiza Lema wakufukuza uanachama mapema leo na kuleta ni dhamu na watu kubadilisha mawazo walikua nayo kama ya Lema
Hilo halina haraka. Ngoja tarehe 6 ipite, mengi yatajitokeza!Kama Msigwa alitoka na maisha ya Chadema yakaendelea tena kupita kiasi, basi wala Lema asiwape shida.
 
Sidhani kama ni sahihi kujifunza kila ubabe unaofanywa na chama A, kila chama kinapaswa kuwa na kiwango chake cha uhuru wa demokrasia. Wamejitokeza wahuni wengi waliokuwa na project za kuitisha press kila iitwapo leo katika mikoa na wilaya mbalimbali za Tanzania kama kule Tanga, Morogoro nk, na bado wapo.

Nadhani ni chama chao kuendelea kukusanya taarifa kuona kama zinatosheleza kuwatia hatiani ama vinginevyo. Kama wataona hawana makosa makubwa sana, wanaweza kuwachukulia hatua za kinidhamu kama onyo ama vinginevyo ikiwemo kuwafukuza kama wataona inafaa. Nina hakika hata hili la Lema litapita vizuri tu kama project nyingine zilivyopita na kuiacha taasisi ikiwa salama. Zilikuwepo Project za Wakatoliki wa vijola, leo hawapo kabisa, taasisi ya RC Tanzania, ipo na ipo imara huenda kuliko awali.
 
CCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM.

Sasa chadema kwa ajili ya Maslahi ya wengi na kutoa Onyo kali kwa wengine wenye mawazo kama Lema kupelekea kugopa Leo ilitakiwa Chadema wameshafukuza uanachama mda mrefu toka ametoka kufanya press conference yake.

Sometimes chama kinahitaji maazumizi magumu yanayoumiza Lema wakufukuza uanachama mapema leo na kuleta ni dhamu na watu kubadilisha mawazo walikua nayo kama ya Lema
vibwengo wavamizi katika sayansi ya siasa mnachekesha sana aise dah :pedroP:
 
ndio demcrasia yenyewe walikuwapo kina shibuda walikimbia wenyewe ,zitto , Dr kabulu,Shibuda,mashinji,slaaa ,msigwa amerudi Lema hana jipya,
MBOWE MWENYEWE CHALIII
 
CCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM.

Sasa chadema kwa ajili ya Maslahi ya wengi na kutoa Onyo kali kwa wengine wenye mawazo kama Lema kupelekea kugopa Leo ilitakiwa Chadema wameshafukuza uanachama mda mrefu toka ametoka kufanya press conference yake.

Sometimes chama kinahitaji maazumizi magumu yanayoumiza Lema wakufukuza uanachama mapema leo na kuleta ni dhamu na watu kubadilisha mawazo walikua nayo kama ya Lema
Kimsingi,Lema ameshajifukuza mwenyewe.Ndiyo mchungaji Msigwa anaita hukumu ya umma na dhamiri.Hizo hukumu tosha kabisa.Hata alipokuwa anaongea na waandishi wa habari anaonekana kabisa hukumu ya dhamiri imeanza kumshughhulikia.Anaonekana hajiamini,hana raha na kakosa amani.
 
Nadhani chadema wameona wao wamwache mtu aamue mwenyewe yaani hawataki kujuhusisha ukizingatia Lema hakulaumu chama yeye alimlaumu Mange.
 
Chadema wanaakili wasingeweza kumjibu mange kimambi swala lalema

Kwakua kajiweka wazi basitena ....mdomo ulipoza kichwa
 
Back
Top Bottom