Uongo hautakusaidia loloteHierarchy ya Chadema haijulikani sasa hivi hajulikani Makamu Mwenyekiti Ni Maria Sarungi/ Kitima au Mange Kimambi kiufupi wameshapoteana
Hilo halina haraka. Ngoja tarehe 6 ipite, mengi yatajitokeza!Kama Msigwa alitoka na maisha ya Chadema yakaendelea tena kupita kiasi, basi wala Lema asiwape shida.CCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM.
Sasa chadema kwa ajili ya Maslahi ya wengi na kutoa Onyo kali kwa wengine wenye mawazo kama Lema kupelekea kugopa Leo ilitakiwa Chadema wameshafukuza uanachama mda mrefu toka ametoka kufanya press conference yake.
Sometimes chama kinahitaji maazumizi magumu yanayoumiza Lema wakufukuza uanachama mapema leo na kuleta ni dhamu na watu kubadilisha mawazo walikua nayo kama ya Lema
😁 # TUTAELEWANA TUU!Uhuru wa kujieleza hautakiwi kudhibitiwa, uamuzi ni wa wasikilizaji
vibwengo wavamizi katika sayansi ya siasa mnachekesha sana aise dahCCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM.
Sasa chadema kwa ajili ya Maslahi ya wengi na kutoa Onyo kali kwa wengine wenye mawazo kama Lema kupelekea kugopa Leo ilitakiwa Chadema wameshafukuza uanachama mda mrefu toka ametoka kufanya press conference yake.
Sometimes chama kinahitaji maazumizi magumu yanayoumiza Lema wakufukuza uanachama mapema leo na kuleta ni dhamu na watu kubadilisha mawazo walikua nayo kama ya Lema
Kimsingi,Lema ameshajifukuza mwenyewe.Ndiyo mchungaji Msigwa anaita hukumu ya umma na dhamiri.Hizo hukumu tosha kabisa.Hata alipokuwa anaongea na waandishi wa habari anaonekana kabisa hukumu ya dhamiri imeanza kumshughhulikia.Anaonekana hajiamini,hana raha na kakosa amani.CCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM.