PostGE2025 Mambo mengine manne Tanzania inatakiwa kufanya ili kuepuka kitanzi cha Marekani ukitoa Maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Alikuwepo mchonga genga km alsahafu wa Saddam na yupo wapi leo hii? Katika bahari ya sahau, mwisho utafika na utakwenda na mama yenu unayeamini atakuja kukupa ubonge wa free baada ya kukosa mgao wa mwaka jana!
kwahiyo hizo porojo ndio zimtishe mTanzania gentleman?🤣
 
Hawa kitanzi kiwahusu hakuna namna,kwani wamemzidi hata ke Hawa hakuna namna kitanzi kiwahusu kwani wamemzidi hata kenge kwa kutokuwa wasikivu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…