Mambo mengine sio uchawi, ni kukosa maarifa tu

Binadamu huwa tunatafuta excuses sana
Utakuta mamno ya kawaida mtu anasema uchawi.
Na mara nyingi watu maskini wanaupigia promo sana uchawi.
Kuna Mzee hapa kitaa kapooza anahangaika na Waganga kuutoa uchawi na alianguka bafuni wakati anaoga. Yaani Waganga wanakula Kuku na elfu 10 za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…