Baba Genovivah
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 756
- 249
Mtaka cha uvunguni sharti ainame pia kipenda roho hula nyama mbichi. Soko la uhakika la LLB mpaka uhitimu law school huo mwaka wa 5 and am ready for that.
big up sana tu mbona madaktari wanagraduate na wanarudi kitaa na kuwakuta walosoma koz magumash na bahasha zao chakavu kitaa wanauza sura...