Mambo muhimu unayotakiwa kujiambia kila siku maishani

Kuwite94

Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
18
Reaction score
117
Formula za maisha unazotakiwa kujiambia!

-Kila kitu kwenye maisha nimemkabidhi Mungu
-Naepuka hasira kwa gharama yoyote
-Sipendi kumuona mtu anaumia au kusononeka
-Sijiwekei matarajio makubwa
-Sina marafiki (Nina watu wakaribu)
-Sikai na chuki dhidi ya mtu
-Kwangu pesa ni baada ya utu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…