malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GreatNdio
Mkuu naomba mngozoMwaka mwingine tena na mfumo mpya wa kukusanya mapato unaoitwa Taxpayer portal. Mambo yanaendela kuwa mazuri kwahiyo ni kwa misingi ya kukusanya taarifa sahihi kwajili ya kulipia Kodi.
Uli kuuita hii ni subsidiary lazima kampuni iwe inamiliki share zaidi ya 50. So kama ikiwa na share zaidi ya hizo inakuwa subsidary iwe inamiiliki 100% au zaidi ya 50%. naamini nimeeleweka. Na ikiwa inamiliki chini ya asilimia 50% inaitwa kampuni zenye mahusiano ( Affiliated).Mkuu naomba mngozo
Hivi subsidiary company inaweza milikiwa 100% na holding company pekee? Au umiliki lazima iwe holding company na mtu mwingine?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Sijakuelewa mkuu.. iko hivi..Uli kuuita hii ni subsidiary lazima kampuni iwe inamiliki share zaidi ya 50. So kama ikiwa na share zaidi ya hizo inakuwa subsidary iwe inamiiliki 100% au zaidi ya 50%. naamini nimeeleweka. Na ikiwa inamiliki chini ya asilimia 50% inaitwa kampuni zenye mahusiano ( Affiliated).
Subsidiary kama nilivyosema inakuwa kuanzia zaidi ya 50% . So unaweza kuwa na 75% ila ikiwa whole owned sasa unatengeneza group of companies ambapo kampuni moja inamiliki kampuni nyingine 100%Sijakuelewa mkuu.. iko hivi..
Ili kampuni ya kawaida isajiliwe kama kampuni lazima iwe na shareholders 2 au zaidi!
Sasa kwa case ya holding company na subsidiary je ni lazima subsidiary imilikiwe na wana hisa wawili au zaidi au inaweza milikiwa 100% na holding company moja?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mkuu nashukuru kwa majibu.Subsidiary kama nilivyosema inakuwa kuanzia zaidi ya 50% . So unaweza kuwa na 75% ila ikiwa whole owned sasa unatengeneza group of companies ambapo kampuni moja inamiliki kampuni nyingine 100%