Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Habari zenu wana jf..
Ningependa kushare na ninyi mambo machache kabisa ya kuangalia kwa kijana uliye maliza chuo,unaye anza maisha na uliyeko chuoni pia
1Aina ya kazi
Usichague kazi ya kufanya hata kama hailingani na kitu unacho kisoma au ulichokisoma
Shikamana na ule mlango unaofunguka
2.Eneo la kuishi
Si kila mahali unaweza ukafanikiwa.Mungu amekuumbia eneo Fulani la kufanikiwa.ombea na takia amani mji ule ambao Mungu ameandaa kwa ajili yako
3.Aina ya marafiki
Kuna aina ya watu katika maisha ambao inatakiwa uwapoteze ili uweze kufanikiwa.
There are friends to keep and friends to loose
Sent using Jamii Forums mobile app