Mambo muhimu ya kuzingatia unapo maliza chuo au kuanza maisha

Mambo muhimu ya kuzingatia unapo maliza chuo au kuanza maisha

Ila kweli ngoja nitafanyia kazi namba 2&3..maana sielewielewi
 
-uzuri nilianza kufanya kazi rasmi (employed) nikiwa chuo mwaka wa pili so nilipomaliza chuo sikuwa na ile shida ya kutafuta kazi nashukuru mungu kwa hilo

-kuhusu marafiki sinaga marafiki wapya wale tuliokutana chuo urafiki uliisha siku nilipomaliza chuo umebaki ushkaji tu (sometimes marafiki wapya wanakujaga na hasara nyingi kuliko faida)

-uchaguzi wa kazi....kama unategemea kuajiriwa basi usichague kazi ila pia usiajiliwe kama fashion yaani unatoa nguvu nyingi na unaingiza kidogo ila tu unaendelea na kazi huo muda unaotumika kazini unaweza kuutumia kufanya kitu kingine productive

-eneo la kufanikiwa... kuna maeneo ukiishi hadi akili inalala yaani kuna maeneo ni mazuri kwa kuishi tayari ukiwa na mchongo sababu hakuna mishe kila mtu yupo ndan kwake so hakuna jipya utakaloingiza zaidi ya akili yako kulala

-hitimisho kuajiriwa ni kuzuri ila kujiajiri ni kuzuri zaidi... tumia ajira kama njia ya ww kujiajiri.....
Santeeee
 
Habari zenu wana jf..
Ningependa kushare na ninyi mambo machache kabisa ya kuangalia kwa kijana uliye maliza chuo,unaye anza maisha na uliyeko chuoni pia

1Aina ya kazi
Usichague kazi ya kufanya hata kama hailingani na kitu unacho kisoma au ulichokisoma
Shikamana na ule mlango unaofunguka

2.Eneo la kuishi
Si kila mahali unaweza ukafanikiwa.Mungu amekuumbia eneo Fulani la kufanikiwa.ombea na takia amani mji ule ambao Mungu ameandaa kwa ajili yako

3.Aina ya marafiki
Kuna aina ya watu katika maisha ambao inatakiwa uwapoteze ili uweze kufanikiwa.
There are friends to keep and friends to loose

Sent using Jamii Forums mobile app
You are one of those friends to be kept at all cost.
 
Ila kuhusu namba 3 inatakiwa uwe makini kuhusu marafiki wapo marafiki wa kuwapotezea na wapo aina flani ya marafiki sio wa kuwapotezea hata kama hawana umuhimu katika maisha yako hapa ,

Kwani kuna vitu kama vile msiba, majanga ya moto,mafuriko hivyo kuna aina flani ya marafiki inabidi tuwe nao hivyo hivyo kwani ndo wanakuwaga watu wa kwanza kutoa msaada hivyo tuweni makini katika hili kwani Mimi

Nimeshawahi kushuhudia kuna mshikaji alifiwa lakini pale kwao hakuna watu waliofikaa
 
🙏
 
Back
Top Bottom