Mambo muhimu ya kuzingatia unapo maliza chuo au kuanza maisha

Ila kweli ngoja nitafanyia kazi namba 2&3..maana sielewielewi
 
Santeeee
 
You are one of those friends to be kept at all cost.
 
Ila kuhusu namba 3 inatakiwa uwe makini kuhusu marafiki wapo marafiki wa kuwapotezea na wapo aina flani ya marafiki sio wa kuwapotezea hata kama hawana umuhimu katika maisha yako hapa ,

Kwani kuna vitu kama vile msiba, majanga ya moto,mafuriko hivyo kuna aina flani ya marafiki inabidi tuwe nao hivyo hivyo kwani ndo wanakuwaga watu wa kwanza kutoa msaada hivyo tuweni makini katika hili kwani Mimi

Nimeshawahi kushuhudia kuna mshikaji alifiwa lakini pale kwao hakuna watu waliofikaa
 
🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…