Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Umesoma vizuri post yangu?

Mali si nimetafuta mimi au? Kwani kuacha urithi ni lazima?

Kama watoto wana maisha yao na mke nimeshamkabidhi vya kwake, hapo vipi?
Mkuu unaonaje tukakuzika mapema halafu ndo sherehe za msiba ziendelee mwezi mzima? Watu wana majukumu yao mengine acha wawahi kuondoka halafu wale wasio na shughuli za kufanya wabaki hapo msibani mwezi mzima wakisheherekea, wewe kuwa na pesa isiwe sababu ya kupotezea watu muda. Imagine unapata taarifa ya msiba Leo lkn unaambiwaa mazishi ni mwezi ujao au baada ya wiki mbili, hivi utaenda msibani leo au utasubiri baada ya wiki mbili ukazike?
 
Binaadamu yeyote anayeongozwa na nyege,hana tofauti na mbwa.
 
Kwa hiyo lengo lenu ni mimi tu kuniwahisha kunizika? Sitaki sasa!

Watu hawalazimishwi kukaa msibani, kama unaona una majukumu sana unachapa raba, unawaacha wana wakiendelea kushusha biere.

Mimi nikifa nakaa siku nne, ya tano ndiyo nazikwa. Kuna watu wanatoka Marekani unataka wakute nimeshafukiwa washindwe kuniaga?
 
Nini kinakuzuia kusilimu mkuu???

Wahi haraka ukale mautamu ya Allah.
 
Basi mchungaji mwakifyongo kutoka chunya akishawaambieni hivyo chachi mnaona nyie ndo wa mbinguni wenzenu motoni😂😂 Eti ndoa ya mda mfupi,, we unamjua hata mtu mmoja ambae kashawahi kufunga hiyo ndoa ya mda mfupi?? Mchungaji mwakifyongo anakudanganya na we umetulia kabisa kwenye benchi yale makanisa ya mabati na mikelele juu,, haleloyaaa mbengo zikafongokee 😂😀😂😀
 
Waislamu wako vizuri. Mimi napenda wanavyokataza kamari na kuchukia dhuluma. Hawanaga ishu za kwamba ukipigwa shavu la kulia ugeuze kushoto au kusamehe 7 x 70. Yaani ni jino kwa jino. Ninawakubali sana hawa ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…