MAMBO NAYOYA EXPERIENCE BAADA YA KUMILIKI GARI

Ulitaka tujue kma umepata mkopo Wa hicho kiberiti haya tushajua na Siku ukimbato kwa Mara ya ndan ya gari usiache kuja kutusimulia
 
Hongera mkuu kwa kuongeza liability
Point of correction a motor vehicle is an asset and not a liability!!! Because it belongs to him(the owner) and can last for a long period of time. However it may depreciate.
 
Mimi nina miaka 25, nina apartments zang napangisha kimara suka...Kuna parking nzur kwa ajil ya gar lako.
Karbu.
 
mkuu unajua mara nyingi magari ya mkopo ndo yanawafanyaga watu kuwa na hizo tabia zakoo, yani utakuta uannunua mafuta from no reason, sehemu ya miguu utataka show off ya gari lako, kupeleka car wash wakati unaweza osha mwenyewe, mkuu kama hujakata bima fanya fasta , haya magari ya mkopo huwa yanapata ajari usiyotegemea

* badilisha heding yako sema gari ya mkopo inaniendesha hiviiii???
 
Ndio madhara ya kupitisha watu darasa la saba kwenda form one na hawajui kusoma.....wapi nimeandika gari ni la mkopo
 
Ndio madhara ya kupitisha watu darasa la saba kwenda form one na hawajui kusoma.....wapi nimeandika gari ni la mkopo

hata kama la mkopo utasemaa, hayo yote kamwambie huyoo ulomkopa, watu limbukeni wameshazoea kupanda ngazi kwa miguu, wakitumia lift tuu utaskia "naskia kizunguzungu, halafu kama nataka kurudi chini, kumbee ushambaa, eti gari linakunywa mafutaa, we vipi??, ulitaka ulipe supu, kama hutaki kutumia mafuta chukua baskeli , uongeze uchovuu wako, hayo ungeenda kule fb kijitangazaaa sio hukuu

*watch your foot*
 
Point of correction a motor vehicle is an asset and not a liability!!! Because it belongs to him(the owner) and can last for a long period of time. However it may depreciate.

You are right,
Motor vehicle is considered as asset especially when it is used to generate profit.
However as you said, it is a depreciating asset. Car loses value the moment you drive it . So every time you calculate your net worth, the contribution of your car value will go down.

It maybe an asset but it does generate a number of expenses and liabilities over time, which is the reason why a lot of people classify a car as a liability. Ongoing ownership costs include maintenance, lease/loan payments, gas,insurance,licenses,traffic fines (Especially now RPC Siro wants to maintain his record breaking fines/revenue collections) etc

But it occurs most of us use financial loans to buy motor vehicles.
 
Umepanick ama umetokwa povu.πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Ujue we sio mjinga sema tu una bahati mbaya unavyofikiria
 
Sasa jiandae na faini za barabarani kwa sababu lazima uvunje sheria za usalama barabarani hasa kwa huo umri ulionao, labda kama akili zako zimetulia (unajitambua)
 
Sina gari ila nipombioni kununua gari but siwezi kuwa kama mchizi eti madem wanavutwa na gari au kuweka mafuta ya buku tano. Nasema nooo nitanunua gari linirahisishie mihangaiko yangu not otherwise au cjui mm ni adult zaidi ya huyu dogo "may be"
Probably nikaanza na Mark X au Brevis
 
Viingeleza vyenu vya kuvalia Tai hivi peleka huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…