MAMBO NAYOYA EXPERIENCE BAADA YA KUMILIKI GARI

Elfu 5 ni lita kama 2.4 mkuu...ndio kilichotushangaza maana km unatumia kwa cku nzima lazima ni gari yenye engine ndogo sn
Haijalishi b ado anahitaji pongezi..bila kujali amefanya jambo kubwa au dogo anastahili pongezi..

kila mbuzi atakula kwa Urefu wa kamba yake

Ndo uwezo wake afanyeje sasa.
 
Haijalishi b ado anahitaji pongezi..bila kujali amefanya jambo kubwa au dogo anastahili pongezi..

kila mbuzi atakula kwa Urefu wa kamba yake

Ndo uwezo wake afanyeje sasa.
Watu hawajui kila jitihada inahitaji pongezi. Kazi yao kuponda tu.
 
Duuuh kwel watanzania tulio wengi tunawaza kurud nyuma sio kwenda mbele...yan gar umenunua kwa garama nabado kila siku unaweka ef 5 kwa ajil ya mafuta...huenda huna ata kiwanja,huna biashara yakukuingizia iyo ef 5 ulipe mafuta,huna pakupak ila ww unajisifia una gari???,,,et unaitwa boss,,,aya bana tajiri wasalimie mkoan uko
 
Unaanza na misiba kila la kheri
 
Mnaosema ni gari ndogo,kwanza mnatakiwa mjiulize anaishi wapi na ofisi yake iko wapi. Mnaweza kukashfu mkakuta mtu anaishi km 3 toka anakokaa.

By the way hongera zako maana kuna wengine hata vitanda hawana na wanaponda na wengine baskeli walizonazo ni za uridhi. Asiyeshukuru kwa kidogo hata kikubwa hataweza kupata
Elfu 5 ni lita kama 2.4 mkuu...ndio kilichotushangaza maana km unatumia kwa cku nzima lazima ni gari yenye engine ndogo sn
 
Nilichogundua wanaoniponda kwamba natumia mafuta ya elf 5 kwa siku inawezekana hawana magari, wanafata mkumbo ama ni chuki....Mafuta ya elfu 5 kwa mji mdogo ukiwa na mizunguko ya kawaida ni kawaida kwa gari yoyote yenye 2000 cc na kushuka chini....
 
Baadae utakuja kuiuza kwa bei rahisi sana. Tafuta gari economy ambayo hata kuuz kwake sio shida. Ushafate mkumbo.
 
anitwa uncle na brother
 
Nijuavyo...raum, wish na zingine zenye cc1800 kushuka mafuta ya elfu tano yanatosha kukupeleka ofisini posta na kurudi kimara baruti vyema kabisa...maana km 13 kwa lita moja
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] Duuuh
 
Ila hapo kwa mafuta ya elfu 5000 kwa siku kwenye T.I mi ndio umenichosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…