Marrryline
Member
- Mar 27, 2019
- 89
- 120
Kumchagua ndugai kuwa mbunge
🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumchagua ndugai kuwa mbunge
Hahahaaaa sijui yuko wapi aiseeVipi ebitoke??
huwa nakataa kuongozwa na mafeelings sijui kwa nn
Ben paulo kuwa muangalifu kijana,ukitimuliwa unatoka na boksa tuu
Ngoja tuoneee
Umenielewa Vizuri [emoji23][emoji16]
Acha kumtisha mwenzio bhana..unataka arudi kwa ebitoke ama?
Kumchagua ndugai kuwa mbunge
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si kazi rahisi huyo Dada kumtimua Ben.kafa kaoza hapo..ntashangaa[emoji23][emoji23][emoji23]hapana huko atashuka abaki tu kwa mkenya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Ben ni mgogo?
Vijana wanatuambisha sana. Ina maana Dada zetu hawawaoni
Ndio,hukumbuki ule wimbo wake sijui unaitwa Sophie wangu,,lol
Oh sasa kama bahati yake ipo kule afanyeje mkuu
Wagogo Tunakosea Wapi
Waulize wenyewe wanakimbia nini hukuNdo wote yaan sasa hivi kama fashion kuoa nchi na kutafuta wachumba nchi jiran