The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,441
Yupo mjini. AnatambaDuh hivi huyu kijana Yupo nchini?
Ni kweli mkuu, Kuna vijiji ukifika hata Kanda ya kati Dodoma hapo, Kuna umaskini kiasi kwamba unajiuliza hawa watu wanaoishi maisha haya ni wanyama au binadamu?Hatari sana.
Ukienda vijijini hasa usukumani ukiona watu wanavyoteseka Kwa umaskini halafu upate hizi taarifa unaweza kuua mtu.
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app