Mambo ni mengi, hata vest hatuvai

Mambo ni mengi, hata vest hatuvai

Kwani uingereza ile sheria ya ukiishi na mwanamke miez 6 haifanyi kazi?
Kule kuna kipengele cha muda wa kuishi pamoja. Watu wanakulana na kuzaa na wakati wa kuachana kuna vipengele nani atawajibika na nini kuhusu mtoto. Huku bongo ndo kuna ndoa za ki-Katoliki halafu na zile za Kisheria/Sharia mkiachana mnagawana mali.
 
Kule kuna kipengele cha muda wa kuishi pamoja. Watu wanakulana na kuzaa na wakati wa kuachana kuna vipengele nani atawajibika na nini kuhusu mtoto. Huku bongo ndo kuna ndoa za ki-Katoliki halafu na zile za Kisheria/Sharia mkiachana mnagawana mali.
Ambazo zinewafanya baadhi ya watu kuwa watumwa na kupotezaa mweleko,maana c kila mtu anayeweza kuvumilia Yale apitiayo
 
Hawezi kuwa Pm huyo ..kule sio Kingdom Mapapai ya Tozo na Korona
Mpaka sasa Sunak ana wapambe 137 wameongezeka
Na Bojo 57

Kama kumkatalia awe PM wanasema kwa sababu ya Uhindi wake na rangi

Hapa tunataka Uchaguzi tu ili tupate mabadiliko
Hata Sunak ni walewale tu
Nime vote Conservatives miaka mingi kasoro mara moja tu 1997 wakati Labour walinishawishi kwa Sera zao na kweli ulikuwa ushindi wa Landslide
Tusubiri tuone
 
Nimesikia kajiengua...
Jamaa muongo sana halafu wakati kundi kubwa lilimkataa na wakajiuzulu akabaki peke yake ofisini, nani atakuwa na Imani nae tena?

Watu wanasema alitukataza kwenda kuona ndugu na wazazi mpaka wanakufa na hata hatukuwaaga wakati wa covid, na yeye anafanya party [emoji3060]

Wakati huo pia ndio na mme wa queen elizabeth alijuwa kafariki

Jamaa hatufai
Mwanzo walimkataa Sunak kisa mhindi wakaona bora hata wampe Liz asiejua chochote

Ila sasa maji shingoni na hakuna zaidi ya Sunak wengine wamekataa kugombea U waziri mkuu

Sio kama sisi huko wangeomba kazi wabunge 200

Bojo mpaka watangazaji wanamponda Live
 
Back
Top Bottom