Mbnative JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 332 Reaction score 77 May 1, 2013 #1 wadau naomba kuuliza kama sasa wanafunzi wa law school wanapewa ufadhili na serikali.nakumbuka mwanzo ilikuwa tatizo bse wengi walishindwa kulipa ada na ilikuwa tatizo kwa wale wa mkoani kuishi Dar kutokana na kukosa ufadhili. Hali iko vipi sasa?
wadau naomba kuuliza kama sasa wanafunzi wa law school wanapewa ufadhili na serikali.nakumbuka mwanzo ilikuwa tatizo bse wengi walishindwa kulipa ada na ilikuwa tatizo kwa wale wa mkoani kuishi Dar kutokana na kukosa ufadhili. Hali iko vipi sasa?