Mambo niliyoyaona leo Simba vs Singida

Wachezaji wa Simba na benchi lao ufundi huwa wanaridhika haraka na magoli wanayoyapata. Hata kama Simba wana uwezo wa kuifunga hiyo timu goli 20 wakishapata goli mbili/tatu hata kama ni dakika ya 10 kipindi cha kwanza kama upo kibanda umiza na mmiliki hajachukua pesa wewe ondoka kanywe soda na pesa yako.
 
Mbumbumbu bila ya kuitaja Yanga, nafsi hairidhiki.
 
wanawake bana!hawawezi kutulia bila kumtaja mume wao "DAR YOUNG AFRICAN"
 
Hao kwenye CAF wanakuwaga wengine,si unajua kwenye Championship mnabadilika kabisa,so ondoa shaka.Maneno yenu mnayo ongea kila siku so acha uoga.
 
Hyo point ya 10 ndy muhimu sana kwa NYUMA MWIKO FC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…