Mambo niliyoyaona leo Simba vs Singida

Mambo niliyoyaona leo Simba vs Singida

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
1. Ayoub Lakres ameanza kulewa sifa

2. Che Malone Fondoh amekuwa beki mbovu sana kutokana na makosa ya kitoro anayofanya

3. Babacar Sarr asiwe anaanzishwa kwani leo timu ilikuwa na uhai sana kipind cha kwanza.

4. Simba haina viungo, wanawapanga tu kwa sababu ni wachezaji wa mpira.

5. Inonga aruhusiwe kwenda kutafuta malisho mengine, pancha zimezidi.

6. Freddy Michael au Funga Funga ameanza kujitafuta.

7. Kapombe amechoka msithubutu tena kumchezesha kiungo

8. Kama Simba itacheza na mwarabu kama ilivyokuwa kipindi cha kwanza na Singida tunaweza kwenda semi final

9. Timu yetu sio ya ushindani kabisa

10. Yanga wamelamba nyaya za Transfoma kwa Mamelodi Sundowns.
 
Back
Top Bottom