Mambo Ninayoyatamani Maishani Mwangu

teh teh teh

akifuta aisee tunaandamana kupinga.

Achana na hiyo kitu aiseee, bora hata afute uwezo wa kusikia, tuwe tunaishi kama viziwi ila aachie hiyo
Hahahaha!...Asigwa huko radhi usione..lakini haya mambo yaendelee
 
Natamani wanafunzi walifukuzwa UDOM wapatiwe chuo cha kuendelea na masomo yao..mana kosa halikua lao.
 
Natamani siku moja niimiliki B.O.T!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…