Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Vema ukaandika kama GTNatamani Chadema wamlilie dr slaa kwani wamekosa uelekeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vema ukaandika kama GTNatamani Chadema wamlilie dr slaa kwani wamekosa uelekeo
Nimecheka sana chief umepinda sana.teh teh teh
akifuta aisee tunaandamana kupinga.
Achana na hiyo kitu aiseee, bora hata afute uwezo wa kusikia, tuwe tunaishi kama viziwi ila aachie hiyo
Hahahaha!...Asigwa huko radhi usione..lakini haya mambo yaendeleeteh teh teh
akifuta aisee tunaandamana kupinga.
Achana na hiyo kitu aiseee, bora hata afute uwezo wa kusikia, tuwe tunaishi kama viziwi ila aachie hiyo
Teh teh tehHahahaha!...Asigwa huko radhi usione..lakini haya mambo yaendelee
hahaha!kweli mkuu ndo maana ikawepo.Teh teh teh
Ni kweli kabisa bana.
Hio kitu inaongeza thamani ya maisha aisee, ukiiondoa maisha yanakuwa boring sana.
[emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji87] [emoji134] najua unamaanisha mende yupi na choo gani
Mkuu unatokea Kilimanjaro sehemu gani?mbutukuuu