Mambo Ninayoyatamani Maishani Mwangu

Mambo Ninayoyatamani Maishani Mwangu

Natamani dunia ya dhambi iishe,Mungu atusamehe wanadamu wote afu tuishi paradiso milele
 
6.Natamani nirudi miaka 22 enzi hizo nakesha night club na totoz kibao, pesa mingi mfukoni balaa.
7.Tatamani Dr Mengi anikabidhi K-Lily.
8.Natamani niishi bila kuzeeka.
9.Natamani niwe na mihela mingi ya kuhonga, yaani mwanamke akinisifia sifia tu namwagia mihela.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Ningependa dunia iwe mahali pa furaha bila huzuni bila mateso bila ubaya bila ubatili bila vivyongo visasi mapigano na vita
Ninependa amani itamalaki kati ya dini na dini dhehebu na dhehebu
Ningependa pasiwepo na uchungu kwenye lolote na mioyo yetu iwe yenye nuru na mwanga wa kuwawezesha wengine kutuona
Ningetamani mno kifo kisiwe sehemu ya uchungu huku waliokufa tukiweza kuwasiliana nao moja kwa moja
Ningetamani wachawi walozi wanga na wote wanaoabudu mambo ya giza wafanye mambo yao kwa ustawi wa jamii yenye furaha amani na upendo mkuu bila kudhuru kuharibu wa kufisha
c935d28d79ec2ba4ef9624d159b183f3.jpg
 
Mi natamani CCM iondoke madarakani na watu flani hivi wafe kabisa yaani ni bora kuliko!
 
  1. Natamani Madaladala Yote ya Mbagala Yasiwe na Siti (kasoro dereva tu)
  2. Natamani Kusiwe na Kifo Tena Duniani
  3. Natamni Kusiwe na Kula iwe ni KUVAA TU
  4. Natamani Tusiwe Tunaoga
  5. Natamani Nyerere Afufuke
  6. ......................wewe unatamani nini?

Natamani kuwa mtu tajiri zaidi duniani Kuwai kutokea
 
natamani jumamosi iwe sabato ya Mungu na watu wote wapumzike siku ya saba ya juma
 
natamani Yesu arudi upesi ili Magufulia abaki na Ikulu yake
 
natamani kusiwe na kufa
natamani niache kutamani
 
Natamaniiiiii ningeumbwa mende......ningekuwa nakaa zangu chooni tu......
 
Back
Top Bottom