Mambo saba muhimu kuelekea maandamano ya kitaifa bila kikomo

hamna lolote nyie, mbona wakati wa magufuli mlitulizana, kama sio woga ni kitu gani. Uzuri wa hii nchi haijalishi Rais ni nani, kwenye maswala ya kipigo mtakipata tu. Mnamuona Samia dhaifu lakini ni strong kuliko hata Magufuli, anawapa muda tu mzidi kuropoka
 
Sambamba na hilo lengo kuu la maandamano ni kuhakikisha IGA inafutwa kwa ujumla wake na Bunge linafuta Azimio Lake la Kinazi na zaidi kwamba Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya vinapatikana watake wasitake kabla ya 2025.
 
Raslimali za Asili za Tanganyika zinasimamiwa na Watanganyika Kupitia serikali yao na zile Mali ambazo ni za Muungano zitasimamiwa kwa pamoja chini ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano itakayoundwa kwa usawa na pande Mbili za Tanganyika na Zanzibar
 
Wewe kichaa hujui unachokiandika. Nani kakuambia kuwa Maasai ni aborigines? Mbona unachanganya mambo? Na kwa taarifa yako ardhi ya Tanzania ni mali ya Serikali chini ya udhamini wa Rais. Serikali inaweza kumuondoa mtu au kikundi cha watu popote na kwa wakati wowote kwa ajili ya masilahi mapana ya nchi. Na wamasai siyo watu wa kwanza kuhamishwa


Wewe ungeendelea na kitu unachokiweza pekee ambacho ni jazba na matusi lakini mambo ya sheria, historia na haki za binadamu wachie wasomi. Wewe Mdude_Nyagali hujasoma na hujui kitu.

Halafu wewe sisimizi na viroboto wenzio kina mwabukusi na Slaa nawahakikishia hamuwezi kuanzisha maandamano popote Tanzania. Niko pale
 
nyinyi chadema ni wazungumzaji sana kwenye mitandao na porojo nyiingi siku ya kupanga maandamano hao woote waliosapoti maandamano hawatahudhuria watajitokeza wawili watatu wenye akili ya kubebwa
 
mimi sio police naiomba wizara ya mambo ya ndani inipe hiyo kazi bila mshahara kwa muda wa hao nyumbu watakapo andamana nipambane nao bila huruma tupo tayari kujitolea nyinyi police kaeni pembeni police mnawaonea huruma hawa nyumbu sisi mtuajiri tuwafyeke iwe fundisho shubamit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…