Mambo saba muhimu kuelekea maandamano ya kitaifa bila kikomo

Safi sana ma ccm mwaka huu mtakimbia madaraka.
 
Hospitali ya mirembe kwani imeshajaa??watu kama hawa ni wateja wenu kabisa kwanini mnawaacha wakiwa mitaani??
 
Sahihi
 

Unaongea Kwa hasira it's like kila mtu ana mahasira kama yako

Yes Una hasira na serikali but mambo mengine ni ujinga wako ww mwenyewe

Mfano majina ya dharau ambayo unawaita viongozi then ukikamatwa unataka tushirikiane Kwenye chuki zako na hasira zako Kwa serikali


Punguza mihemuko na uongee hoja za kisomi
 
Duh!
Lkn hakuna waandamanaji humu
 
Hawa Viongozi mnao waona wakiwatesa, kuwatisha, kuwadhulumu, kuwapoka haki zenu, kuwasweka mahabusu Kama Mungu aishivyo hamtawaona tena na hawatakuwa na mahala pa kusimama na wala Mahali pao hapata onekana tena kwasababu Mungu amekwisha ondoa nafasi yao na kuwakataa kwasababu ya ushirikina wao uliokithiri. NAKAZIA
 
Kaandamane wewe na familia yako sebuleni au ndani ya Uzio wa nyumba yako. Hayo unayosema hujatumwa na Watanzania jitafakari.
Kwani we mbona unatusemea sisi watanzania kuwa hatujamtuma umejuaje ??
 
Chadema badilisheni aina ya siasa mnazofanya, sisi wananchi haturaji mfanye sisasa mlizozofanga mwaka 95, maandamano yafanywe tu pale kwenli Kuna jambo kubwa lenye uzito WA kufanya maandamano, ukubwa unakuja na wajibu pia, kama mnajiona mnaweza kuwa sawa na Ccm basi nyie ndo wakubwa wawili mnaotegemewa na wananchi
 
Kaandamane wewe na familia yako sebuleni au ndani ya Uzio wa nyumba yako. Hayo unayosema hujatumwa na Watanzania jitafakari.
Watanzania tumechoka kuburuzwa na chama cha majizi ya kura. Maandamano pekee yake ndiyo njia sahihi.
 
Hii statement ya matumaini imenikubusha statement ya Mungu - Yehova akitumia kinywa cha Musa Israel ushindi dhidi ya Farao na jeshi lake. Soma๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

.....Musa akawaambia watu, "Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya...."
Kut 14:13โ€ญ-โ€ฌ14 SUV

Na kichapo kilichofuata baada ya kauli hii ya mtumishi wa Mungu Musa, ni Kwa Farao na jeshi lake lote kupotezwa na kuzamishwa milele ndani ya bahari ya Shamu na hatujawahi kumuona Farao tena tangu wakati huo..!!

Amina๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ