Mambo saba muhimu kuelekea maandamano ya kitaifa bila kikomo

Hii nchi yetu ilipofikia inahitaji vijana wenye akili safi kama Mdude. Naunga mkono hoja
 
Kaka, unamaanisha nini hapa? Tuweke vizuri, please!!

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Kwa maoni yangu ili haya maandamano yafanikiwe, tafuteni watu maarufu kwa kila mkoa/wilaya watuongoze na maandamano haya yafanyike kwa muda unaofanana nchi nzima ili hawa askari wasitoshe kuzima maandamano. Mapendekezo ya nani awe wapi kuongoza maandamano ni muhimu sana kama tumedhamiria kupata majibu chanya ya maandamano
 
Hv viongozi wanasubiri nn kulikabidhi hili 'linda' kwa masela walitatue?!!!! Nipeni mimi huo uongozi kwa siku tatu tu.
 
Mtakwenda peke yenu itatosha haina haja ya wananchi tulimuona maalim Seif aliandamana peke yake kutoka ofisi yao ya CUF wakati ule.
Tuonesheni mfano viongozi wetu wa Chadema mkiandamana ili Kuipindua nchi kabla ya serikali iliyopo madarakani kufikia muda wake.
Unaitwa mfano hai.
 
Kanyweni maji mlale msitegemee watu wajitokeze kuunga upuuzi wenu wa kuharibu amani ya nchi yetu, labda muandamane sebuleni kwenu na familia zenu.
 
ccm bila maandamano nikupoteza muda,naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…