Mambo tata kuhusu NASA na safari ya mwezini: Ni kweli Neil Armstrong alisilimu baada ya kusikia Adhana mwezini?

Kwenye pesa Si mwenzako anaweza kutengeza chochote ili ukiamini.

Hii issue ya USA kutua mars bado unatia ukakasi mwingi.
Wamarekani hawakutua mwezini mkuu,ule ulikuwa utapeli wa kimataifa.Ule uongo ulikuwa staged kwenye jangwa moja la Marekani liitwalo Mojave.Marekani ina majangwa makubwa manne.What does this imply,Ina maana kwamba assertion kwamba Armstrong alisilimu baada ya kusikia adhana mwezini ni uongo ule ule wa Ibilisi.

Hata hivyo anayejua chanzo cha dini ya Uislamu hashangazwi na uongo huu.
 
100%
 
Mmmmh!
 
Wewe kilaza James Webb Space Telescope(JWST) inaenda kuwa stationed Lagrange 2, km milioni 1.5 toka duniani, mwezini ni km laki 3.8 tu toka duniani.
 
UONGO HAKUWAHI KUWA NA DINI YOYOTe SiO UKRISTO WALA UISLAM

 

[emoji1666] @daVinciXV
 
Huwa nashangaa sana mtu kujikeep busy kuresearch madudu yakujiaminisha uongo kuwa ukweli ili mradi aonekane mfuatiliaji wa sayansi, badala ya kuumiza kichwa kutafuta ukweli.
Hakuna kiumbe kilichofika mwezini tafuteni maarifa nje ya box, sio kupumbazwa na media za NASA, haina tofauti na mtoto anayeamini cartoon the same kwa mtu mzima kuamini movie za Marvel studio (NASA).
 
Hawa jamaa walikuja walikanusha kuwa Armstrong hakufika mwezini.

Nilitamani kumpa Mtoto wangu Hilo jina la Armstrong lakini NIMEKUJA Kugundua jamaa waliudanganya Ulimwengu.


HAKUNA KIUMBE KIMEWAHI KUFIKA MWEZINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…