Mambo unayopaswa kuyafahamu katika maisha ya wamaasai

Mambo unayopaswa kuyafahamu katika maisha ya wamaasai

Kwa sasa Masai ndio mtanzania aliesambaa maeneo yote ya TZ sio wachaga tena wala wasukuma au waswahili.

Wana hustle sana masai one day watatusua. Hakuna jitihada zisizo na matokea.

Serikali iwawezeshe kuwapa mitaji mashine kwa ajili ya ubunifu wao. Wamebuni bidhaa zao za tofauti kabisa. Bahati mbaya sana wachina wameanza kukopi bidhaa za masai na kuzijaza masokoni huu ni uonevu kwa masai.

Serikali ipige marufuku bidhaa za wachina ambazo ni copy paste ya ubunifu wa masai.
Sijui kama nanyi mmeliona hilo mfano ni sandle za masai na nguo za masai wachina wana copy ya hizo bidhaa.

WACHINA ACHANENI NA BIDHAA ZETU, SISI BADO TUNAJITAFUTA. SISI WAAFRIKA TUWAKOPI NYIE SIO KINYUME CHAKE.
WACHINA MUWE NA AIBU , SI MYDA MTAKOPI HADI UCHAWI NA MIZIMU YETU MKAUZE ULAYA CHINA NA INDIA.
FIkisha huo ujumbe kwa mchina yeyote unaemjua.
 
Mambo ya kipekee ambayo katika maisha ya umasaini ni nadra sana kuyasikia au kuyaona,ili hali sehemu nyingine ni mambo ya kawaida kutoke katika jamii

Huta sikia wake wanagombania mume, ndo kwanza mke mkubwa humwambia mumewe aoe mke mwingine wasaidiane katika majukumu. Wake hawaoneani wivu, hawapigani wala kununiana

Neno yatima ni halipo, huwezi kuoneshwa mtoto/watoto yatima. Wazazi wakifariki watoto huendelea kwa ndugu husika, neno yatima ni nadra sana kulisikia

Wanawake kutoa mimba ni nadra sana kusikia, unaweza mtia mimba na usimuoe wala kulea, utakuwa umempa mtoto kama zawadi tu. Kama ilivyo hakuna neno yatima pia mtoto wa kambo ni hakuna

Wanawake kuvaa nusu uchi ni hakuna japo wana hijifunga mashuka yao unaweza hisi muda wowote atamwaga radhi upepo ukija uone paja au upapa,hapo utakesha sana zaidi utaambulia kuona upara kichwani tu.[emoji23][emoji23]

Huwezi sikia mtu kajinyonga au kunywa sumu iwe kisa mapenzi, ugonjwa sugu au ugumu wa maisha

Huwezi sikia mambo ya ushoga.

Huwezi sikia kesi kwamba mwanamke kabakwa

Vilevile kuna mambo ambayo umasaini ni kawaida Sana Ila kwa jamii nyingine ni mshangao

Kutotumia vyoo na ni kawaida kukuta boma la zaidi ya watu hamsini bila choo hata cha kuegesha, wao hupendelea kwenda vichakani na makorongoni. Hata kama choo kipo ni hakitumiki.[emoji848][emoji848]

Wanawake hawana haki za msingi wala hawana maamuzi yeyote mbele ya mwanaume, wakiitwa hata vikaoni wao ni wasikilizaji tu.

Swala la elimu wazazi huzaa watoto wengi, huchagua wa kwenda shule, machungani au wakuolewa mapema iwezekanavyo

Wanaume kuoa vibinti vidogo ambavyo wakati mwengine hata havijapevuka.

Wanaume kutofanya kazi za mikono kama kujenga, kufua, au kulima. Mwanaume yupo tayari aende na mkewe kibarua cha kulima, mke alime yeye amsimamie nyuma akimpigia story [emoji23][emoji23]

Supai bhookee[emoji2]
Hapo kwny kuoa sio kweli kwamba wanawaoa watoto wadogo isipokuwa wanaweka order, kuwa mtoto flani akikuwa nitamuoa
 
Kwa sasa Masai ndio mtanzania aliesambaa maeneo yote ya TZ sio wachaga tena wala wasukuma au waswahili.
Wana hustle sana masai one day watatusua. Hakuna jitihada zisizo na matokea.
Serikali iwawezeshe kuwapa mitaji mashine kwa ajili ya ubunifu wao. Wamebuni bidhaa zao za tofauti kabisa. Bahati mbaya sana wachina wameanza kukopi bidhaa za masai na kuzijaza masokoni huu ni uonevu kwa masai .
Serikali ipige marufuku bidhaa za wachina ambazo ni copy paste ya ubunifu wa masai.
Sijui kama nanyi mmeliona hilo mfano ni sandle za masai na nguo za masai wachina wana copy ya hizo bidhaa.
WACHINA ACHANENI NA BIDHAA ZETU, SISI BADO TUNAJITAFUTA. SISI WAAFRIKA TUWAKOPI NYIE SIO KINYUME CHAKE.
WACHINA MUWE NA AIBU , SI MYDA MTAKOPI HADI UCHAWI NA MIZIMU YETU MKAUZE ULAYA CHINA NA INDIA.
FIkisha huo ujumbe kwa mchina yeyote unaemjua.
Kwani mashuka, shanga, na material ya kutengeneza Sando si miaka yote yanatoka China? Ukisema wapige ban bidhaa hizo kutoka China ni sawa na mtu aliye kalia tawi alafu analikata kitakacho fuata ni kuvunjika.

Maana ukifuatilia kiundani bidhaa anayouza mmasai ambayo ametengeza mwenyewe labda Dawa za asili lakini vingine ni assembling ambapo bila mchina Masai hatoboi
 
Utandawazi umebadilisha mambo mengi ikiwepo mambo ya kwenda jando porini yanaenda yanapungua

Hiyo ya kuoa wake wawili na kukaa boma moja nimeona hawana noma asee

Ila bado wanapenda ulozi hata kwenye mambo madogo madogo mf chakula, mafanikio, mbesii
 
Kwani mashuka ,shanga,na material ya kutengeneza Sando si miaka yote yanatoka China ?Ukisema wapige ban bidhaa hizo kutoka China ni sawa na mtu aliye kalia tawi alafu analikata kitakacho fuata ni kuvunjika .Maana ukifuatilia kiundani bidhaa anayouza mmasai ambayo ametengeza mwenyewe labda Dawa za asili lakini vingine ni assembling ambapo bila mchina Masai hatoboi
Sio dawa za asili tu, hata zile bangili za chuma za mikononi na miguuni pamoja na pete wanatengeneza wenyewe kwa chuma kule Engaruka

Walianza kutengeneza hivyo vitu kabla hata mzungu hajaingia Afrika

Soma historia ya ufuaji chuma huko Engaruka, Ugweno, Meroe na Axum
 
Tuacheni ukabila, udini, urangi, muonekano tukiendekeza hayo tutajimaliza wenyewe kwa wenyewe!
Wachache wataelewa
 
Mambo ya kipekee ambayo katika maisha ya umasaini ni nadra sana kuyasikia au kuyaona,ili hali sehemu nyingine ni mambo ya kawaida kutoke katika jamii

Huta sikia wake wanagombania mume, ndo kwanza mke mkubwa humwambia mumewe aoe mke mwingine wasaidiane katika majukumu. Wake hawaoneani wivu, hawapigani wala kununiana

Neno yatima ni halipo, huwezi kuoneshwa mtoto/watoto yatima. Wazazi wakifariki watoto huendelea kwa ndugu husika, neno yatima ni nadra sana kulisikia

Wanawake kutoa mimba ni nadra sana kusikia, unaweza mtia mimba na usimuoe wala kulea, utakuwa umempa mtoto kama zawadi tu. Kama ilivyo hakuna neno yatima pia mtoto wa kambo ni hakuna

Wanawake kuvaa nusu uchi ni hakuna japo wana hijifunga mashuka yao unaweza hisi muda wowote atamwaga radhi upepo ukija uone paja au upapa,hapo utakesha sana zaidi utaambulia kuona upara kichwani tu.😂😂

Huwezi sikia mtu kajinyonga au kunywa sumu iwe kisa mapenzi, ugonjwa sugu au ugumu wa maisha

Huwezi sikia mambo ya ushoga.

Huwezi sikia kesi kwamba mwanamke kabakwa

Vilevile kuna mambo ambayo umasaini ni kawaida Sana Ila kwa jamii nyingine ni mshangao

Kutotumia vyoo na ni kawaida kukuta boma la zaidi ya watu hamsini bila choo hata cha kuegesha, wao hupendelea kwenda vichakani na makorongoni. Hata kama choo kipo ni hakitumiki.🤔🤔

Wanawake hawana haki za msingi wala hawana maamuzi yeyote mbele ya mwanaume, wakiitwa hata vikaoni wao ni wasikilizaji tu.

Swala la elimu wazazi huzaa watoto wengi, huchagua wa kwenda shule, machungani au wakuolewa mapema iwezekanavyo

Wanaume kuoa vibinti vidogo ambavyo wakati mwengine hata havijapevuka.

Wanaume kutofanya kazi za mikono kama kujenga, kufua, au kulima. Mwanaume yupo tayari aende na mkewe kibarua cha kulima, mke alime yeye amsimamie nyuma akimpigia story 😂😂

Supai bhookee😃
CHAI
 
Aliekula mmasai aje anipe mrejesho nipo Ruvu apa kikazi nantakaa miezi sita nakuna du wakimasai ananileteaga maziwa kila siku hasubui na tumeshabadilishana namba ila kila nikifikilia yale mate yanayotemwa kila baada ya dk5 na hiki kiarufu cha mafuta y beberu anayojipaka kinanivuluga kabisa nakuniacha hoi
Ugoro huo
 
Utandawazi umebadilisha mambo mengi ikiwepo mambo ya kwenda jando porini yanaenda yanapungua

Hiyo ya kuoa wake wawili na kukaa boma moja nimeona hawana noma asee

Ila bado wanapenda ulozi hata kwenye mambo madogo madogo mf chakula, mafanikio, mbesii
Ulozi ni kila kabila. Juzi wamemloga kijana tunaefanya nae kazi shambani tena wabantu ndio hawafai kwa uchawi. Masai wana dawa nzuri za kutibu. Wavantu ni matapeli kweli. Siwaamini wabantu wenzangu bora masai.
Nipo tayari ninunue dawa ya masai sio ya shagembe igembe sijui matunge sijui mdodi wote wezi tu.
 
Utandawazi umebadilisha mambo mengi ikiwepo mambo ya kwenda jando porini yanaenda yanapungua

Hiyo ya kuoa wake wawili na kukaa boma moja nimeona hawana noma asee

Ila bado wanapenda ulozi hata kwenye mambo madogo madogo mf chakula, mafanikio, mbesii
Kwani Wamasai nao ni walozi au ?
 
Back
Top Bottom