Mambo unayopaswa kuyafahamu (Motivational)

GokuOne

Senior Member
Joined
Jan 19, 2022
Posts
196
Reaction score
263
Habarini wanaJF, niende moja kwa moja kwenye hoja:



1. Ya zamani uliyofanya yasiathiri leo yako.
2. Mawazo/mitazamo ya watu wengine yasiingilie utendaje wako kimaisha.
3. Kutopata unachotaka inaweza kuwa ni sehemu ya baraka (huwezi jua kwa kukosa kwako umeepushwa na mabaya gani)
4. Usijilinganishe na wengine na pia usiwahukumu. Hujui yaliyomo kwenye safari yao ya maisha.
5. Jiachie mara moja moja, kuwa na furaha.
6. Tabasamu. Wewe si mmiliki wa matatizo yote ya dunia.
(Yakikukuta just smile)
7. Muda hutibu majeraha yote. Jipe muda...
8. Kujipenda wewe binafsi ni ukarimu mkubwa unaoweza kujitendea.

Nawakilisha
 
9. Tafuta sana hela, motivation quotes hazitakulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…