Charmaine
Member
- Jan 4, 2023
- 61
- 161
Hapo kwenye protective gears : hiyo KV ulimaanisha KY au sijaelewa?
Kama vile…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye protective gears : hiyo KV ulimaanisha KY au sijaelewa?
😂😂😂😂nimecheka kwenye kipengele cha HAJA,kwamba tunapaswa KUNYA kabisa kabla ya kuanza kulana mbususu enh[emoji38]
Kina Mo Dewji wanapiga goli moja kwa mwaka ndio maana wamefanikiwa vile. Right!?Ngono na umasikini ni kulwa na doto, thus waliokwepa mtego huo Wana mafanikio.
Huwezi waza ngono mda wote ukawa na maendeleo.
We unaonaje kwa mfano..nimecheka kwenye kipengele cha HAJA,kwamba tunapaswa KUNYA kabisa kabla ya kuanza kulana mbususu enh[emoji38]
Nani wanapenda ngono Kati ya masikini na matajiriKina Mo Dewji wanapiga goli moja kwa mwaka ndio maana wamefanikiwa vile. Right!?
Infact, wanaume wengi wanapenda ngono....ulipaswa kuuliza, kati ya mwenye pesa na asiye na pesa, nani mwenye easy access ya ngono..Nani wanapenda ngono Kati ya masikini na matajiri
Asante mwalimuSi vibaya tukashirikishana na kukumbushana haya masuala kwa sababu ni jambo la kawaida katika maisha na ni jambo pendwa Sana baada ya pesa. Ukiona kilichosahaulika ongeza cha kwako
KABLA YA MAPENZI
CHAKULA: kula chakula ambacho hakina gesi, usishibe Sana kwani huweza kukupa bhughudha wakati wa tendo, mfano kujamba, uchovu wa mapema, kwa wanaume kula zaidi protein na wanga kidogo kv mayai nyama na ugali. Usile chipsi usijekuabika unaweza piga kimoja tu, njaa.
USAFI: jinsi zote me na ke ni muhimu kuoga, pia kupiga mswaki. Kama unapenda kunukia tumia manukato lkn pendelea zaidi kubaki asili Yako bila kutumia manukato hapo penzi Huwa tamu Sana kwa joto na harufu asili ya mwili. Yani Kuna harufu asili ambayo ukisikia tu sehemu za siri zinaanza kuwashawasha huku kachafya kwa mbaaali. Yaani hapa patamu kweli kama ni harufu ( sex aroma) ya asili.
MAJI: Kunywa maji na Kaa na maji karibu inakusaidia kupunguza mapigo ya moyo na kutomwaga mapema hata wakati wa tendo ukisha chomoa uume kunywa maji inakusaidia kukojoa mara kwa Mara na kuondoa bacteria wasababishao UTI na GONO. Jinsi zote.
HAJA: hakikisha umekojoa au kwenda haja kubwa kabla ili isikupe Kero.
Protective gears: Andaa condom kwa ajili Kinga ya magonjwa pia. Kv gono lakini sio kaswende kwani ukivua vibaya halafu ukashika uume au uke vibaya teyari. Kuwa makini na majimaji hayo usigusanishe. Hii kwa wale wenye michepuko na watu wasiowaamini.
SAIKOLOJIA. usiangalie picha wala video za warumi zitakusababishia kumwaga mapema. Pia usifikirie Sana kabla ya mpenzi wako kuja huweza kusababisha kumwaga mapema pia. Au kupiga puchu au wazungu kuja karibu ndio Ile mtu anataka tu kupitisha kichwa teyari waaaaaa, wazungu. Daaa inakera
WAKATI WA TENDO
Maandalizi ni mazuri au fore play kwa ajili ya kuaanda viungo viwe teyari kwa kazi. Sio tu mara paaa ulishachomeka kama unaiba. Utasababisha michubuko na maumivu pengine. Hasa mwanamke anatakiwa atoe Ute kwa ajili ya uume iteleze vizuri na kumfikisha kileleni.
Staili nzuri ambazo haziumizi pia acha kushindana na zile za xxx wale ni wafanya biashara pia ni editing IGA ufe.
Anza taratibu nenda mwendo Fulani sio marathon. Unakuta mtu anapiga mashine utafikiri anakomoa kumbe huwezi shindana na uchi hata ufanyeje.
BAADA YA TENDO
USAFI: oga na OSHA via vya uzazi vizuri ili kuondoa pia mikosi na magonjwa kama sio mtu wako mfano unaweza kuchukua mikosi, majini magonjwa, ukahamishia hata mke wako au mume wako.
KULA. kula vizuri hasa kwa mwanaume kurudisha nguvu zako unapoteza nguvu nyingi Sana za akili na mwili pia ndio maana mwanaume baada kumaliza hulala Sana kuliko mwanamke kwa sababu we ndio unapoteza. Mwanamke hapotezi chochote ndio maana kwa wale wanafanya mapenzi Sana hawawezi kufikiria masuala mengineyo kama uzalishaji.
NB: Fanya kitu kwa kiasi ili ikusabishie kufikiri Mambo mengineyo kv ya kiuchumi, by the way kama ni ndio Chanzo chako cha mapato fanya ili kikuingizie. Asante
Hili suala ni hobby ya mtu Wala Haina cha maskini Wala tajiri.Infact, wanaume wengi wanapenda ngono....ulipaswa kuuliza, kati ya mwenye pesa na asiye na pesa, nani mwenye easy access ya ngono..
Asante To yeyeSawa mkuu
Hii ni hasara kwa afya pia huchangia uvivu mwili hauwezi kuwa na nguvuKanda ya pwani wanapenda ngono jamani yani wao hata walale njaa asubuhi lazima aamkie papuchi kwa kuichakata au kwa kuiwaza yani mungu awasaidie...[emoji120]
Kwa nnDah!hii nchi ya motoo[emoji1787]
It's a fact, lakini mwanzisha uzi, alikuwa anamaanisha watu wote wanaopenda na kuendekeza ngono huwa masikini, waliofanikiwa wamepiga hatua kwa sababu ya kutojali ngono....that's was their (Don't know the gender) main point.Hili suala ni hobby ya mtu Wala Haina cha maskini Wala tajiri.
Siyo Kweli Sana mbn Kuna watu mimalaya ila ina maendeleo sanaNgono na umasikini ni kulwa na doto, thus waliokwepa mtego huo Wana mafanikio.
Huwezi waza ngono mda wote ukawa na maendeleo.
Research hii umeifanyia wapi kiongozi? sample unit ni kina nani? sample size ipi? na methodology gani gani kiongozi?Kama hauna, Kuna studies zozote umeziona? kama umeziona,weka tuzisome.Kanda ya pwani wanapenda ngono jamani yani wao hata walale njaa asubuhi lazima aamkie papuchi kwa kuichakata au kwa kuiwaza yani mungu awasaidie...[emoji120]
Very true na inawezekana wenye uchumi mzuri ni ngengemkeni kuliko watu wenye kipato kidogo...Siyo Kweli Sana mbn Kuna watu mimalaya ila ina maendeleo sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app