Mambo unayotakiwa kufanya kabla, wakati na baada ya kufanya mapenzi

Mambo unayotakiwa kufanya kabla, wakati na baada ya kufanya mapenzi

Madame ni kweli aise hadi maombi
Mi umenikosha pale uliposema mkimaliza mkaoge sijui usafi..ili kuondoa mikosi..like really. Ingekua mikosi inaondoka ukishaoga hamna mtu angekua maskin. Mikosi haiondoki kwa maji...inaondoka kwa toba ya kugeuka..sio toba ya leo afu kesho au baadae unajijua utapanga miadi na Fetty kitovu kitamu..!!
 
Thank you too
Maybe mtoa mada, aweke vizuri mawazo yake...
1. Umasikini unasababishwa na kupenda kufanya ngono (meaning:kupenda kutumia muda mwingi sana kufanya na mpenz wako mmoja tu? au
2. Kupenda kufanya sana na wanawake wengi tofauti (umalaya)?
 
Na theory aliyo tumia pia
Research hii umeifanyia wapi kiongozi? sample unit ni kina nani? sample size ipi? na methodology gani gani kiongozi?Kama hauna, Kuna studies zozote umeziona? kama umeziona,weka tuzisome.
 
Ni kweli Kuna watu wenye Hela na Wana enjoy sex balaa na kila aina ya mwanamke au mwanaume anayemtaka anampata

Ila maskini wanagongana Sana na watoto wengi kweli kuliko wenye Hela hii ni sababu ya kutokuwa na kazi za kufanya pia hata njaa husababisha libido kwa wingi kuliko aliyeshiba kwasbb mwili unakua unafanya kazi ya kusaga chakula..... research more.
Very true na inawezekana wenye uchumi mzuri ni ngengemkeni kuliko watu wenye kipato kidogo...
 
Maybe mtoa mada, aweke vizuri mawazo yake...
1. Umasikini unasababishwa na kupenda kufanya ngono (meaning:kupenda kutumia muda mwingi sana kufanya na mpenz wako mmoja tu? au
2. Kupenda kufanya sana na wanawake wengi tofauti (umalaya)?
Kwa wale wenye kipato cha kusuasua ndio wanaangamia kwa sababu akitoa alichoko nacho kinaisha hasa kwa wale wanaohonga ila kwa mtu mwenye aliyejiwekeza ana enjoy life.
 
Sisi tusioweza mapenzi ya KURAMBANA RAMBANA, ni mwendo wa RARA NIKURENGE tunakomenti wapi?
hapa hapa, ila Yana maumivu kamchunguze unayempachika dudu bila kuwa na utelezi anapata shida Wala hafurahii
 
Ni kweli Kuna watu wenye Hela na Wana enjoy sex balaa na kila aina ya mwanamke au mwanaume anayemtaka anampata

Ila maskini wanagongana Sana na watoto wengi kweli kuliko wenye Hela hii ni sababu ya kutokuwa na kazi za kufanya pia hata njaa husababisha libido kwa wingi kuliko aliyeshiba kwasbb mwili unakua unafanya kazi ya kusaga chakula..... research more.
Tukizungumzia umalaya; wanaume wenye pesa, wakifanya attempt ya kuwatongoza wanawake 10, ana chance ya kupata more than 70% of that number; Mwenye uwezo wa chini sana kipesa, ana chance ya less than 30% of that number.
So, mwenye uwezo kama anaweza kupata wanawake zaidi ya 7 out of 10, basically he will spend more money.
N.B:Labda tuseme huyu ambaye hana pesa, anaweza kuendelea kuwa na changamoto nyingi za kiuchumi kama atatumia muda mwingi kuhangaika na wanawake wengi ambao wanamkataa kuliko ambaye yupo well-off who is spending less time chasing women (uses plenty of his time to do productive activities because women accept him easily than his counterpart)
My opinion and I stand to be corrected.
 
Ni kweli mkuu
 
Wewe sio bure kichwani utakua umejaa hewa tuu kama blada, Kwa hivyo Umekaa kabisa ukaona huu uzi nisahihi kabisa, Kwani umetufikiraje kwanza?

1: Sisi wadogo zako?
2: Sisi watoto wako?
3: Sisi wanafunzi wako?
4: Sisi wagonjwa wako?
5: Sisi ni machizi kama wewe?

Hivyo vitu mtu hua haelekezwi wala nini ni yeye mwenyewe lazima atajizingati, What a crazy and lunatic guys that doesn’t do those through these roughly life plus stressed women..Unafaa urudi darasa la sita ujifunze tena sayansi huenda uliruka hii part!
Usiwe kama shoga ...kama uzi huupendi pita kushoto bila ya kuweka negative comment....fak u
 
Back
Top Bottom