Ndiyo huyo ni Mimi my friend.Huyo ni wewe mkuu?
Niko huku Mchambawima mkuu zenjiPande za Dodoma chang'ombe kaka..wwe pande zipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hapo kwenye ovatar mbona kama kuna minguo mingi mingi wee ni dobi?
Contact mbona hujaweka nduguAsante trudi'
Karibu mgeni wa 2016Ahsante brother.. Yeah kwa kuwa ni mgeni so ntajitahidi niweze kuongez picha zangu
😂 😂 😂 😂Karibu mgeni wa 2016
Niko huku Mchambawima mkuu zenji
Heeehe thnks bhnaKaribu mgeni wa 2016
Live mkuu...I live my life bro,wengi wana act hii kituMaisha yako mkuu
Pande za Dodoma chang'ombe kaka..wwe pande zipi?
Saw ndgu nimekunyakaIla hapa sio Facebook kijana...
Ah bro nusu ni log out maan nimeingia mahala ambapo nimekutana na mtihani..Hi ndio jf brooo
Kariibu Sana. Sasa mbona umeweka picha moja tu? Utakosa usajili. Ongeza nyingine.