Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu kiongozi mi ndo chief executive officer humu nashirikia na chief of staff mr MwifwaBrother mmi sina akili hyo,mazoezi kwa afya brother..that is my body nafany mazoezi unakuwa hivyo kwa kuwa mazoezi ni kitu kinacho transform mwili wa mwanadam chap..ko kwa afya bro kwanza mengine yatafataga tu naturally. Let's get educated in this,ni jambo muhimu San kwa afya zetu matizi bro
Halafu ndugu kama nilikuona kwenye TV ukiwa kule ukanda wa Ghaza vile ? au Iraq sijui ? Ulishazungukia pande hizo ?Ah bro nusu ni log out maan nimeingia mahala ambapo nimekutana na mtihani..