Brother mmi sina akili hyo,mazoezi kwa afya brother..that is my body nafany mazoezi unakuwa hivyo kwa kuwa mazoezi ni kitu kinacho transform mwili wa mwanadam chap..ko kwa afya bro kwanza mengine yatafataga tu naturally. Let's get educated in this,ni jambo muhimu San kwa afya zetu matizi bro