KifoLazima
Member
- Oct 13, 2013
- 15
- 1
Mambo vp Wadau tuko pamoja ndani ya jamvi tusiogope tukumbushane tu kuwa njia ya wote ni moja..Amani kwa Waliotangulia,Maandalizi kwa tuliobakia..Narudia usihanye,hakuna pa kukimbilia kama sio LEO, KESHO, KESHOKUTWA,WIKI IJAYO,MWEZI UJAO,MWAKA KESHO,AU MIAKA MINGI IJAYO.USIJISAHAU.