Mambo vp Wanajamvi ,nimetimba Jamii Forum sina biased..niko impartial tupo pamoja till our days.

Mambo vp Wanajamvi ,nimetimba Jamii Forum sina biased..niko impartial tupo pamoja till our days.

KifoLazima

Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Mambo vp Wadau tuko pamoja ndani ya jamvi tusiogope tukumbushane tu kuwa njia ya wote ni moja..Amani kwa Waliotangulia,Maandalizi kwa tuliobakia..Narudia usihanye,hakuna pa kukimbilia kama sio LEO, KESHO, KESHOKUTWA,WIKI IJAYO,MWEZI UJAO,MWAKA KESHO,AU MIAKA MINGI IJAYO.USIJISAHAU.
 
Mmmmh! Hiyo i.d yako inatisha. Hata hivyo karibu sana jamvini.
 
Amefikisha ujumbe kua binadamu tunatembea na umauti!
 
Back
Top Bottom