Haupo peke yako. Naona kukaa nje sana inaleta tatizo kwenye lugha, kiac kwamba mtu unajikuta huwezi kuongea sentensi moja bila kuchanganya na kiingereza. Ila tip niliyojifunza ni hivi, kabla hujaenda bongo, atleast kama mwezi hivi, jaribu kuongea kiswahili ili ukienda bongo ucje ukaaibika.