Mambo vp?

Mambo vp?

Matema-Girl

New Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
1
Reaction score
0
Mi msichana toka Ugerman, nasoma udaktari. nafurahi kuwa nimekuta JF. Natamani mnanipa nafasi ya kuboresha kiswahili yangu. Kwa hiyo kama labda nakosa grammar msichukie.
 
Haupo peke yako. Naona kukaa nje sana inaleta tatizo kwenye lugha, kiac kwamba mtu unajikuta huwezi kuongea sentensi moja bila kuchanganya na kiingereza. Ila tip niliyojifunza ni hivi, kabla hujaenda bongo, atleast kama mwezi hivi, jaribu kuongea kiswahili ili ukienda bongo ucje ukaaibika.
 
Karibu sana Matema-Girl. Kiswahili kisikupe shida ili mradi unaelewa tunachosema na wewe unaeleweka.
 
Mi msichana toka Ugerman, nasoma udaktari. nafurahi kuwa nimekuta JF. Natamani mnanipa nafasi ya kuboresha kiswahili yangu. Kwa hiyo kama labda nakosa grammar msichukie.

Karibu sana mama. Ukimaliza masomo karibu nyumbani tujenge taifa.
 
Back
Top Bottom