poleni na maisha
Safi tu Ndo nini tena Kupotea hivyo babu we..bibie za masiku
na jana ndio wameua bunfdi kabisa uwanjaniNaona intelijensia wamefanya kazi kweli, wameichukua ubongo wa wadanganyika na wakazipeleka kwenye mgao wa umeme, naona hapa kila mtu anazungumzia mgao sasa!
namshangaa!Umelewa???!