Sio kweli! Wewe utaona mke hela anamaliza kwenye nguo ila mkiachana ndo utajua nyumba anayoishi alijenga saa ngapi😂Pesa za vikoba vya kununua nguo mpya na mitoko , mwanamke akishajiunganisha na vikoba , ujambazi unamvaa automatically
🤣🤣🤣 Kaka yako kazini kwake kuna kaziComments za mtibeli zimenifanya nisimulie kisa cha kaka yangu.
Yeye na mkewe walifunga ndoa 2015, hawana mtoto, mkewe hajawahi kufanya kazi yoyote.
Ashamfungulia mkewe saloon, min market, duka lakini vyote vilikufa chanzo mkewe hataki kwenda kuvisimamia! Yeye anataka kukaa tu wafanyakazi wamletee hesabu nyumbani.
Anajuta kumuoa ila hawezi kumuacha kisa nyumba yao aliandika jina la mkewe.
Sasa hivi nyumbani kwao wana housegirls wawili kumbuka hawana mtoto na mke yupo tu nyumbani.
Kinqchomsikitisha amegundua kua mkewe kamjengea mama yake nyumba ya kisasa kijijini kwao.
Anajiuliza mkewe hela kapata wapi?
Nilimwambia bila kumficha kua nyumba imejengwa kwa pesa zake kaka yangu😂
Nafikiri hii ndio sababu ya ujambazi mwingi ndani ya familia, katika makosa yanafanyika ni kuchepuka na mke ajue , wandewa huwa wana hakikisha mchepuko unamjua mke wake ili afanye maarifa asije kutuna nae kwa namna yoyoteMwanamke akishajua una michepuko hutokaa uione hela yake kamwe!!!
Hela zako unawapa malaya halafu za mke mshare majukumu? Cha kukusaidia sana ni ataanza kukufirisi anakusanya urithi wa watoto wake mapema.
Roho inamuuma! Akamtamani hadi mke wa jirani yake eti ningepata mke kama wa fulani ningekua mbalii🤣🤣🤣🤣 Kaka yako kazini kwake kuna kazi
Enhee ulikuwa unasema??Pesa za vikoba vya kununua nguo mpya na mitoko , mwanamke akishajiunganisha na vikoba , ujambazi unamvaa automatically
Wanawake walikua watii kwa waume zamani lakini kesi za mume kafa unakuta mali mlizochuma zinagawanywa hadi kwa watoto wa nje!Nafikiri hii ndio sababu ya ujambazi mwingi ndani ya familia, katika makosa yanafanyika ni kuchepuka na mke ajue , wandewa huwa wana hakikisha mchepuko unamjua mke wake ili afanye maarifa asije kutuna nae kwa namna yoyote
Ndio tupo hapa kumsapoti mwa-mwihuu uzi umetembea isivyo kawaida ila nikiri kuwa mtoa mada kuongea ukweli mtupu
Mijengo mingi ni ya mwanamke, halafu kiazi mmoja anajipinda kuhonga , wanawake wanahela nyingi sana 😅, kuna kamasemo kenu eti hamjawahi kumiliki hela , huwa mnatuona mat,,,ko yenu sana🤔Sio kweli! Wewe utaona mke hela anamaliza kwenye nguo ila mkiachana ndo utajua nyumba anayoishi alijenga saa ngapi😂
Kiukweli nimeona wanawake wengi wanaovumilia ujinga mwingi kwa waume zao kwa sababu tu 'nikitoka hapa nitaenda wapi' mwanamke ukikaa kizembe kwa aina ya wanaume tulionao utakufa siku si zakoKabisa limenyooka mno , na kuna wanawake na wanaume wamenyooka pia , ila majambazi wamejazana ndani ya familia ndio wanaibua mizozo
Umesema kuhudumiwa?Guys kuna raha kua Mwanamke na raha ya Mwanamke kuhudumiwa,
Anazaa nje halafu anakuletea wewe ulee kwa vilio na misamaha ya kinafki! Baada ya mwezi wanaenda kutanua dubai we umekaa hapo ndani kama jaba lisilojielewa!Wanawake walikua watii kwa waume zamani lakini kesi za mume kafa unakuta mali mlizochuma zinagawanywa hadi kwa watoto wa nje!
Hapo ujambazi ndo ulipoanzia!
Mchepuko anaishi vizuri kuliko mke hata ungekua wewe ndo mke ungejisikiaje?
Umemaliza!! Na mwanaume akishajua huna mbele wala nyuma hakuna rangi utaacha kuionaKiukweli nimeona wanawake wengi wanaovumilia ujinga mwingi kwa waume zao kwa sababu tu 'nikitoka hapa nitaenda wapi' mwanamke ukikaa kizembe kwa aina ya wanaume tulionao utakufa siku si zako
Kaka yako itakuwa anampenda sana huyo mwanamke au ni mpole sana. Kuna wanaume hiyo nyumba ingerudi au igawanywe nusu kwa nusu kila mtu ashike hamsini zake. Ila pia kuna wanawake wanajua kumkamata mwanaume kwa uzuri, hisia au sex mpaka mwanaume anakuwa kama Tv ya kuendeshwa na rimoti.Comments za mtibeli zimenifanya nisimulie kisa cha kaka yangu.
Yeye na mkewe walifunga ndoa 2015, hawana mtoto, mkewe hajawahi kufanya kazi yoyote.
Ashamfungulia mkewe saloon, min market, duka lakini vyote vilikufa chanzo mkewe hataki kwenda kuvisimamia! Yeye anataka kukaa tu wafanyakazi wamletee hesabu nyumbani.
Anajuta kumuoa ila hawezi kumuacha kisa nyumba yao aliandika jina la mkewe.
Sasa hivi nyumbani kwao wana housegirls wawili kumbuka hawana mtoto na mke yupo tu nyumbani.
Kinqchomsikitisha amegundua kua mkewe kamjengea mama yake nyumba ya kisasa kijijini kwao.
Anajiuliza mkewe hela kapata wapi?
Nilimwambia bila kumficha kua nyumba imejengwa kwa pesa zake kaka yangu😂
Hivi kumbe huwa wanawaleta ndani tuwalee? Katika kitu sitaki ni watoto wangu kushare baba na watoto ambao sijawazaa!!Anazaa nje hakafu anakuletea wewe ulee kwa vilio na misamaha ya kinafki! Baada ya mwezi wanaenda kutanua dubai we umekaa hapo ndani kama jaba lisilojielewa!
Tz hairuhusu mgeni kumiliki ardhi ndo maana kaka yangu hawezi kuipata hiyo nyumba.Kaka yako itakuwa anampenda sana huyo mwanamke au ni mpole sana. Kuna wanaume hiyo nyumba ingerudi au igawanywe nusu kwa nusu kila mtu ashike hamsini zake. Ila pia kuna wanawake wanajua kumkamata mwanaume kwa uzuri, hisia au sex mpaka mwanaume anakuwa kama Tv ya kuendeshwa na rimoti.
Umenifanya nimkumbuke wifi yangu, mwanamke anapambana yule ana watoto watatu wamepishana mwaka mmoja mmoja, ukimwambia wifi una kazi nyingi tafuta hata binti wa kukusaidia kazi wala hana mpango 🤣🤣 tunamwambia haya super woman maisha ndio hayahayaRoho inamuuma! Akamtamani hadi mke wa jirani yake eti ningepata mke kama wa fulani ningekua mbalii🤣
Aisee nahisi kuumwaComments za mtibeli zimenifanya nisimulie kisa cha kaka yangu.
Yeye na mkewe walifunga ndoa 2015, hawana mtoto, mkewe hajawahi kufanya kazi yoyote.
Ashamfungulia mkewe saloon, min market, duka lakini vyote vilikufa chanzo mkewe hataki kwenda kuvisimamia! Yeye anataka kukaa tu wafanyakazi wamletee hesabu nyumbani.
Anajuta kumuoa ila hawezi kumuacha kisa nyumba yao aliandika jina la mkewe.
Sasa hivi nyumbani kwao wana housegirls wawili kumbuka hawana mtoto na mke yupo tu nyumbani.
Kinqchomsikitisha amegundua kua mkewe kamjengea mama yake nyumba ya kisasa kijijini kwao.
Anajiuliza mkewe hela kapata wapi?
Nilimwambia bila kumficha kua nyumba imejengwa kwa pesa zake kaka yangu😂
I'm not here to teach people how to live; by doing so I might end up offending people. Whoever reads what I just said will understand that the good life that we all dream of is a result of hard work, patience and discipline; No short cuts, no fixes.I still don't get you. Watchu mean?
🤣🤣🤣 Ndio maana mamtu hana preshaTz hairuhusu mgeni kumiliki ardhi ndo maana kaka yangu hawezi kuipata hiyo nyumba.
Kama mnajenga familia moja kwa ajili yenu na watoto wenu kuna ubaya gani kusaidizana, sio amri wala sharti kumsaidia mwanaume, lakini ukimsaidia mwenzako hata kufikia kiwango cha msaada wako kuwa asilimia 50 kuna shida?Asaidiwe pale alipokwama sio kugawana nusu kwa nusu